Wenye Vitambi Kulipa Maradufu (Air France) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye Vitambi Kulipa Maradufu (Air France)

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Jan 21, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wide-Bodied Passengers Charged Double To Fly


  [​IMG]
  Overweight passengers who cannot squeeze into a single plane seat are to be charged double to fly with Air France.

  People who cannot fit into a standard seat will be asked to pay for two seats, or not be allowed on board for "safety reasons", according to the airline.

  Air France spokeswoman Monique Matze said: "We have to make sure that the backrest can move freely up and down and that all passengers are securely fastened with a safety belt.

  "The charge will only apply on flights that are fully booked. They will get their money back on flights where spaces are available."

  The airline intends to charge passengers 75% of the cost of the second seat on top of the full price for the first.

  Air France was ordered to pay £5,000 damages in 2007 for "humiliation" to a 27-stone passenger at an airport check-in desk in New Delhi.

  Frenchman Jean-Jacques Jauffret, 43, had his stomach measured by Air France staff before being told he needed to buy two seats.

  Mr Jauffret claimed he was told: "People as fat as you need to buy two seats."

  United Airlines introduced the same policy last year, making passengers with extra-wide bodies pay for an extra seat.

  Air France's new charges will apply for people who book their tickets from February 1 for all flights from April 1.
   
 2. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Is this discrimination or what?
   
 3. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nawahi gym
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,805
  Likes Received: 83,184
  Trophy Points: 280
  I don't think so Mkuu...if you need two chairs in order to be comfortable on your trip then you have to pay twice the amount.
   
 5. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Wana wazimu hawa. bado kidogo watasema watu wanaokula au kunywa sana waje na vaykula/vinywaji vyao!
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  BAK,

  Kwanza kabisa salamu kwako na kaa kitako JETS wanakuja...:D

  This issue is opening a can of worms maana watu wembamba sasa
  wataanza kudai kulipa half fair basi.Hapo je?

  Sometimes we have to look at this thing objectively. Not every fat
  person, excuse the use of that word, wants to be that way. This move
  is like suggesting that they are getting punished for their weight.

  The airline folks should just suck it up and accept that this comes with
  the territory.

  P.S. Utasikia bongo pia kwenye daladala wanaanza kucharge double
  fare kwa wapana.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Walipe tu, mi sioni tatizo lolote.
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Usishangae wakawa wanaitafakari hivi sasa...!
   
 9. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Yah!! Walipe lakini kuwepo na exceptional sio wote
   
 10. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145

  Hoja nzuri!! Lakini umechelewa kidogo (no chance for copyright income any more).
  Huko Ulaya kampuni inayozidi kukua ni Ryan-Air kama kielelezo cha akina "no-frill-airline". Hapa unaweza kuleta chapati zako mwenyewe au unagiza kwenye ndege ukilipa pesa taslim kwa kila kikombe cha maji, bia, sandwich na kadhalika
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Tulipe kwa uzito, kila kilo kiasi fulani, halafu kiuno kikizidi kiasi fulani unapata penalty, kwishne.
   
 12. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ya. lakini Ryan ni short trips. Sidhani kama zinazidi fours hours kulingana na standards za usafiri wa anga?! Nchi nyingi tu ndege zao kwa short trips unalipia chakula na kinywaji. Africa Air Zambia ndiyo inawakilisha kwa hilo. Point yangu hapa ni kwa safari za masafa marefu yanayozidi 5 hours. Kwanza ukileta msosi wako gharama ya garbage itakula kwao! Lakini pia hakuna mtu atapanda ndege hiyo kama kuna kulipia kila kitu kwa umbali huo. Kwanini usilipe zaidi ukapewe chakula. I stand to be corrected
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,805
  Likes Received: 83,184
  Trophy Points: 280

  Mkuu JETS tutawapa kibano cha uhakika J'pili usiingie mitini tu...ha ha ha ha ha ha. Naomba sana mshinde nyumbani kwa NO ingawaje najua ni mechi ngumu sana kwenu especially if you take into consideration their home record this season, ili tukutane kwenye Superbowl na pia kuwapa kibano na QB wenu mzee Favre.

  Mkuu, usiobme kushare kiti na msafiri mwenzio mwenye pounds 400 au zaidi utaona kama unasuffocate na kujuta kusafiri na utaunga mkono mara moja hii idea ya watu wakubwa kupita kiasi kulipa twice as much as compared to other passengers. Mkuu asilimia kubwa ya hawa watu wakubwa kupita kiasi ama wamedekezwa na wazazi wao kwa kula majunk food kila siku iendayo kwa Mungu na hatimaye kukusanya pounds chungu nzima ambazo zinachangia sana katika matatizo yao mengi kiafya ikiwemo au wao wenyewe kwenye utu uzima wameendekeza mavyakula hayo na sasa wameharibikiwa.


  Haya Mkuu kila la heri J'pili I hope utakuwa hapa kama muda wako utakuruhusu wakati game likiendelea.
   
 14. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Siyo kweli. Wapo wanaonenepa kwa kula sana. Wapo walio wanene kimaumbile. Lakini wapo wanaokula sana na kunywa sana hawanenepi! Tuwe waangalifu kwa kauli za kukanganya watu. Mtu anaweza kufikiri kunenepa kunatokana na kula tu
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,805
  Likes Received: 83,184
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtu mkubwa kwa kuzaliwa anafikisha pounds 400 wengi wa hao watakuwa ni 300 na ushee kama Shaquille Oneal. Kula sana unategemea wanakula chakula gani, kama ni hayo majunk food basi ni lazima wafutuke kiajabu ajabu, lakini kama wanakula healthy food wanaweza kabisa wakamaintain uzito ambao si wa kutisha. Na sasa hivi ndiyo maana kumekuwa na hizi operesheni za kupunguza mfuko wa kuwekea chakula kwa wengi wa watu hawa wenye uzito mkubwa kupita kiasi ili wapunguze uwezo wao wa kula na hivyo kupunguza uzito waliokuwa nao.
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,805
  Likes Received: 83,184
  Trophy Points: 280
  Star Jones' Public Weight Battle
  The Oprah Winfrey Show | April 01, 2009
  [​IMG] Comment (45) [​IMG] Email [​IMG] Print html .fb_share_link {color: #666666;}[​IMG] Share [​IMG] I Like It


  [​IMG]

  The world met Star Jones in 1997, when she went from Court TV correspondent to one of five co-hosts on Barbara Walters' talk show The View. She was known for her quick wit and take-charge attitude, but also for her rapidly growing weight problem. By 2003, Star had reached 307 pounds and was diagnosed as morbidly obese.

  That same year, Star decided to undergo gastric bypass surgery. Yet, as her weight melted off in front of the national TV audience, she never addressed her changing body with her fans. In the three years that followed, Star lost 160 pounds. She also lost the trust of her viewers and, ultimately, her popularity. In 2006, Star was let go from her spot on The View
   
 17. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  BAK,Wapo kibao ambao ni wakubwa na wazito wa hivyo. Ni jambo la maana sana kuamini kuwa siyo kula tu ndiyo kunapelekea kunenepa sana. Kuna factors nyingi sana zaidi ya kula. Food ni food tu, iwe junk au vyovyote. Standards zina-vary kutoka nchi na nchi kutegemeana sana na utamaduni na vitu vingine. La msingi hapa muhimu kutambua kuwa unaweza kunenepa bila kujali umekula nini au kwa kiasi gani.
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,805
  Likes Received: 83,184
  Trophy Points: 280
  Mwanjelwa nitakupa mfano wa nchi za Europe na hata China ambapo wenyeji wa huko wengi wanalalamika kwamba tatizo la overweight people ambalo miaka 15 au zaidi halikuwepo kabisa katika nchi hizo sasa hivi linaongezeka kwa kasi sana katika nchi hizo kutokana na kuingia kwa makampuni kama McDonald, KFC kutoka US katika nchi hizo na vyakula vyao ambavyo ni unhealthy. Mwishoni mwa mwaka jana nilikuwa nasoma ripoti kuhusiana na wahamiaji kutoka Afrika, Europe, Middle East na kwingineko katika nchi za US na Canada ambao wengi wanaohamia katika nchi hizi huwa wanakuja na uzito ambao huwezi kusema na wa kupita kiasi. baada ya miaka 10 wale ambao waliiga tabia ya kula vyakula ambavyo ni unahealthy kama hivyo vya McDonald, KFC n.k. walianza kufutuka kiajabu ajabu na kuwa overweight na wale ambao waliendelea na utamaduni wao wa kula vyakula walivyozoea kula huko walikotoka waliweza kuimaintain uziti ambao ni very healthy.

  Kwa hiyo hapa hitimisho ni kwamba pamoja na kuwa kunaweza kukawa na sababu nyingine zinazochangia watu kuwa overweight, asilimia kubwa inachangiwa na aina ya vyakula wanavyokula. Hata Europe na China kilichosemwa kwamba kimesababisha sana ongezeko la overweight people katika miaka ya hivi karibuni kilikuwa na hivyo vyakula ambavyo ni very unhealthy na sasa kuna watu wanaomba Serikali iongeze sana kodi ya vyakula hivyo ili viwe very expensive na hivyo kutokuwa na mvuto tena kwa wananchi wenye vipato vidogo na hivyo kupunguza tatizo kubwa la uzito wa kupita kiasi ambalo linaongeza gharama kubwa katika helth care cost ya nyingi za nchi hizo kwa asilimia kubwa sana.
   
Loading...