chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 2,903
- 3,080
Mimi ni mhanga wa kuwa na ualaza hivyo nalazimika kunyoa kila baada ya wiki moja ili kiwalaza changu kisionekane.
Tupeane ushauri namna ya kuhandle hali hiyo kwa wale wasiopenda kiuwalaza
Tupeane ushauri namna ya kuhandle hali hiyo kwa wale wasiopenda kiuwalaza