Wenye vipaji vya kuigiza na kutunga movie tukutane hapa

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,937
Poleni kwa majukumu wakuu, ninalo wazo, kupitia uzi huu na jukwaa hili wale wenye vipaji vya kuigiza na kutengeneza move yaani kutunga story tukutane hapa tuone tutashirikiana vipi, mimi nilikuwa nashauri hivi, tunajadili jina na maudhui ya movie halafu kila mtu natatafuta kipande chake na kukitungia story, tunaboresha na tunaunganisha kwa kushirikiana, pia napendekeza jukwaa hili ndo liwe na aina ya move ziwe hizi hizi za mapenzi kwa kuwa zina washabiki wengi sana. Nawasilisha wakuu wangu.
 
KUMBE MCHUMBA WANGU ANA UKIMWI?!!!

Nipo ndani ya bus la Mtei nikielekea jijini Arusha,pembeni kuna binti mrembo sana shombe shombe wa Kizungu,baada ya kupiga nae story kwa muda kidogo nikabaini ni Msauzi Africa.Ni binti mrembo zaidi ya mrembo, nywele zake ndefu kazitelekeza mgongoni kanakwamba hazimuhusu. Manukato yake tu yalitoa kwenye mawazo ya msiba wa rafiki yangu niliyekua nikiwahi kumzika jioni ya siku hiyo jijini Arusha............
 
Ehee!!
 
Samahani Mkuu..

Muvi za ain hii zipo nyingi sana. Na maudhui hufanana. Hebu tutoke nje ya box kidogo. Tuje na movie zenye akili zaidi.
 
najaribu kufikiria karan johar aliwaza nini hadi akapata idea ya MY NAME IS KHAN, kwa kweli miswada kama ile ndo inahitajika
 
Bila kutumia muda mwingi kutulia kisha kutunga hadithi nzuri, movie zetu zitaishia DSM tuu. Yaani hata mkoani hazitotoka. Kimsingi tuache uvivu.
 
dah waheshimiwa nna story za kusisimua ambazo sio so much based on romance ila kama.ujasusi na mambo ya ki intelligensia kwa anaependa nimuuzie am ready to.set the deal
 
Back
Top Bottom