Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 508
- 470
Kama title inavyojieleza hapo juu,, naomba ushaur kabla ndugu yangu hajafanya maamuzi juu ya aina hiyo ya gari na hizo specification zake hasa kwenye upande wa ulaji wa mafuta.
Option za huyu ndugu yangu zilikuwa kwenye noah filed tourer na hiyo Alphard ama toyota regius.
Sasa naona kakazania sana kwenye hilo Alphard nikamtahadharisha kwenye hizo CC namuona kastaki yupo fity fity mana ule muonekano wa alphard ulimchanganya... Anahitaji ushauri wenu.