Zeemadeit
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 776
- 1,556
Habari zenu wakuu.
Muda mrefu nmekua natamani kua na biashara ya kuuza mapambo ya nyumbani. Kuanzia mapazia,maua,decorations zingine kama mito ,wallpapers etc.
Sasa leo nmepita pita kwenye website ya ali express nikaona bidhaa kidogo ni cheap. Ila hazijajumuisha gharama za kutuma mzigo(shipping cost).
Je gharama hizo hua zinakua kubwa kiasi gani. Mfano kwa mzigo usiozidi laki 5 gharama zinaweza kurange vipi? Nimewasiliana na supplier ili anipe majibu ila hajarespond bado.
Na je ni sahihi mimi kuanza biashara hii ya home decorations kwa kununua bidhaa zangu ali express.?
Karibuni mnisaidie mawazo wadau.