Wenye uwezo wa kuleta mabadiriko nchini ni wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye uwezo wa kuleta mabadiriko nchini ni wananchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anyisile Obheli, Feb 12, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,378
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hii ni kwa sababu kupitia haki ya msingi ya kupiga kura, tunaweza kuibadirisha nchi, na kuwa nchi yenye kujari utu wa na utaifa wa wananchi, ikiwa tu, tutaamua kubadirisha CD ya ile nyimbo ya kizamani ile ya nambari wani ni ccm,,,,,
  Hivi ni mpumbavu gani apitaye mahali ambapo kila akipita huzomewa? au hupigwa? ama hurushiwa mawe? miaka 48 ya uhuru bado omba omba, ni kweli nchi masikini, lakini umasikini ni wa kipumbavu, nauita wa kipumbavu maana laiti ungekuwa ni wa kijinga ungekuwa ushasoma na kufuta ujinga, tatizo mtu ni kwamba kuna ambaye hupenda kuvaa nguo chini NYEUSI na juu KIJANI, ana tabia ya kutokea kila baada ya miaka 5 na maneno mazuri, watu humkaribisha ndani lakini kumbe ni firauni.
  Hivi nani katuroga? Mpaka hatumstukii? anatuumiza harafu akija anakuwa rafiki yetu?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...