Wenye Uthubutu wa kushughulikia Wezi wa taifa hili ni UPINZANI pekee!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,159
2,000
Nalisema hili kwa sababu Wapinzani hawataona taabu kubadili katiba, hawataona taabu kumwajibisha mwizi ambaye sio sehemu yao, watataka waseme ukweli wa kike wanachokitenda. Hawatataka kupoteza tena kupoteza nafasi zao za kuwaongoza wananchi.

Kupitia hili, ndio maana utafiti wa TWAWEZA unabainisha kua werevu na wasomi wenye elimu kubwa ndio wanapenda zaidi na kuelewa upinzani, Wasiokua na elimu na Wazee ndio wanaipenda na kuielewa zaidi CCM.

Sina neno zaidi!
 
PUSHKIN 2000

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
362
250

WAPINZANI WAMEKUWA kama POPO jinsia yake haijulikani kama ni mnyama au ndege...the same is applicable kwa WAPINZANI TZ haijulikani wanasimamia nini....... UNCLE MAGU amewafunika...so far performance yake inamfanya AWE the best choice .....tuliyokuwa nayo......
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,177
2,000
WAPINZANI!!!!HAWA HAWA WANAOBADIRIKA KILA KUKICHA,WATU KAMA KINA LIPUMBA NA SLAA SIO??
Watu kama kina Zitto ambao nina Wasiwasi na uadilifu wao kwa upinzani???
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,521
2,000
naunga mkono hoja. tulitegemea jpm angekuwa mpambanaji wa kweli lakini ameshaamua kuwalinda jk na mkapa. watanzania tusitarajie jipya katika mapambano haya. wapinzani angalau wanaweza eleweká
 
PUSHKIN 2000

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
362
250
ni kweli
ila tatizo hao wa kuitwa sio wasomi (wajinga) ni wengi sana kuliko hao wasomi
maana ni 30% tu ya watanzania ambao wamefika angalau kidato cha 4
sasa huo ndo mtaji wa ccm
Unawajua WASOMI wa TZ??? USOMI haupimwi kwa vyeti... kwanza wengi wameumbuka ...Hili group linaloitwa la wasomi...hakuna kitu hawa ndio ma losers wakubwa refer to the quotes from Macaulay...kwa nini hamjielewi...elimu ya wasomi na lugha zao mlitengenezewa mitaala ya kuwafanya muwe wezi kama sia agents wa wizi.... WASOMI WA AFRICA na BONGO ni BAD NEWS!!!
 
Attachments

  • Macaulay.PNG
    File size
    1.3 MB
    Views
    37

HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
2,882
2,000
Nalisema hili kwa sababu Wapinzani hawataona taabu kubadili katiba, hawataona taabu kumwajibisha mwizi ambaye sio sehemu yao, watataka waseme ukweli wa kike wanachokitenda. Hawatataka kupoteza tena kupoteza nafasi zao za kuwaongoza wananchi.

Kupitia hili, ndio maana utafiti wa TWAWEZA unabainisha kua werevu na wasomi wenye elimu kubwa ndio wanapenda zaidi na kuelewa upinzani, Wasiokua na elimu na Wazee ndio wanaipenda na kuielewa zaidi CCM.

Sina neno zaidi!

Tuanze na red: Uko sahihi kabisa, Chadema wamebadili Katiba na sasa wana mwenyekiti wa maisha (Demokrasia ya kweli?)
Kwenye blue: Kwa kuwapa hifadhi wezi?
Kwenye purple: Chadema 17% au hukusoma vizuri report ya TWAWEZA?
 
Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,638
2,000
naunga mkono hoja. tulitegemea jpm angekuwa mpambanaji wa kweli lakini ameshaamua kuwalinda jk na mkapa. watanzania tusitarajie jipya katika mapambano haya. wapinzani angalau wanaweza eleweká
MAGU kwa kupiga mikutano ya Siasa marufuku ndipo aliharibu
 
Eternal_Life

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
814
1,000
Mwizi hawezi kamwe kujishughulikia mkuu.Wametuibia kwa miaka yote iyo na bado wakikaa pale mjengoni kazi yao ni kupiga meza na kusema ndio kwa kila hoja.Upinzani wanaweza sana kubadilisha hii nchi siyo hao wezi.
 
PUSHKIN 2000

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
362
250
Nalisema hili kwa sababu Wapinzani hawataona taabu kubadili katiba, hawataona taabu kumwajibisha mwizi ambaye sio sehemu yao, watataka waseme ukweli wa kike wanachokitenda. Hawatataka kupoteza tena kupoteza nafasi zao za kuwaongoza wananchi.

Kupitia hili, ndio maana utafiti wa TWAWEZA unabainisha kua werevu na wasomi wenye elimu kubwa ndio wanapenda zaidi na kuelewa upinzani, Wasiokua na elimu na Wazee ndio wanaipenda na kuielewa zaidi CCM.

Sina neno zaidi!
MPINZANI Nani..... SUMAI, LOWASSA, MASHA, au MBOWE????? wacha utani.!!!
 
xav bero

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
5,148
2,000
Tuanze na red: Uko sahihi kabisa, Chadema wamebadili Katiba na sasa wana mwenyekiti wa maisha (Demokrasia ya kweli?)
Kwenye blue: Kwa kuwapa hifadhi wezi?
Kwenye purple: Chadema 17% au hukusoma vizuri report ya TWAWEZA?
Umeuaaaa
 
Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,478
2,000
Hmm! We're living in a Dilemma state.
"Waliopo tumewachoka, wanaotaka tuwape hatuwaamini!" asante sana Mrisho Mpoto kwa mashairi yako...
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,827
2,000
Asilimia Kubwa Ya Viongozi Wa Upinzani Walishawahi Kuwa Makada Watiifu Wa Ccm Utawaita Wapinzani Kweli
 
Mindi

JF-Expert Member
Apr 5, 2008
3,190
2,000
WAPINZANI WAMEKUWA kama POPO jinsia yake haijulikani kama ni mnyama au ndege...the same is applicable kwa WAPINZANI TZ haijulikani wanasimamia nini....... UNCLE MAGU amewafunika...so far performance yake inamfanya AWE the best choice .....tuliyokuwa nayo......
Wapinzani hawajabadilisha mapigo yao, ila wewe kwa kuwa unasikiliza ngoma ikipigwa ndio unacheza.
 
PUSHKIN 2000

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
362
250
Wapinzani hawajabadilisha mapigo yao, ila wewe kwa kuwa unasikiliza ngoma ikipigwa ndio unacheza.

Take home message kutoka kwa WAPINZANI WA TZ kwa kipindi cha miezi 18 ilyopita
1) Walichochea na Walishangilia TZ kupigwa Burn MCC funds
2) Walikuwa Mstari wa Mbele Kutetea wauza na watumiaji madawa
3)Wamekuwa Mstari wa Mbele Kusambaza lugha HASI Nchi ina njaa na kuhamasisha UVIVU na OMBA OMBA
4)Wamekuwa Mstari wa Mbele Kutetea watu wenye vyeti feki
5) Mstari wa Mbele KUPAMBANA NA POLISI
6) KESI ZOTE ambazo serikali inawashughulikia WAHUJUMU ...Mawakili ambao ni MAKADA wa UPINZANI ndio ULAJI WAO
7) WATETEZI WAKUBWA wa ACCACIA

Na mengineyo.....
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
30,485
2,000
Nalisema hili kwa sababu Wapinzani hawataona taabu kubadili katiba, hawataona taabu kumwajibisha mwizi ambaye sio sehemu yao, watataka waseme ukweli wa kike wanachokitenda. Hawatataka kupoteza tena kupoteza nafasi zao za kuwaongoza wananchi.

Kupitia hili, ndio maana utafiti wa TWAWEZA unabainisha kua werevu na wasomi wenye elimu kubwa ndio wanapenda zaidi na kuelewa upinzani, Wasiokua na elimu na Wazee ndio wanaipenda na kuielewa zaidi CCM.

Sina neno zaidi!
Sio upinzani huu wa kina mbowe, lowassa, zitto etc!!
Huo upinzani eidha bado haujazaliwa au ndo wako msingi darasa la nne!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom