Wenye ujuzi au ushauri kuhusu kurekebisha paa lililoezekwa vibaya naomba msaada

Habari ya jumapili wapendwa

Naomba ushauri kama kuna wajuzi wa kurekebisha paa la nyumba iliyopauliwa vibaya na kupelekea baadhi ya maeneo kuvuja.

Nawakilisha🙏

Pole sana mama D naamini yote yanawezekana kurekebishika ila gharama zitategemea vitu kadhaa kama:-

1. Aina ya uezekaji (contemporary au kawaida)
2. Uvujaji ni kwenye misumari imegongwa vibaya, kofia hazijakaa sawa, vale zinavujisha au mabati hayajaungwa vizuri.
3. Aina ya bati uliyotumia. Gauge 28, 30 au 32?
Ukitoa hayo maelezo itawasaidia wataalam kukushauri njia bora.

Kila la kheri
 
Habari ya jumapili wapendwa

Naomba ushauri kama kuna wajuzi wa kurekebisha paa la nyumba iliyopauliwa vibaya na kupelekea baadhi ya maeneo kuvuja.

Nawakilisha
Naomba uwe wazi, paa la kawaida au contemporary
 
Pole sana mama D naamini yote yanawezekana kurekebishika ila gharama zitategemea vitu kadhaa kama:-
1. Aina ya uezekaji (contemporary au kawaida)
2. Uvujaji ni kwenye misumari imegongwa vibaya, kofia hazijakaa sawa, vale zibavujisha au mabati hayajaungwa vizuri.
3. Aina ya bati uliyotumia. Gauge 28, 30 au 32?
Ukitoa hayo maelezo itawasaidia wataalam kukushauri njia bora.

Kila la kheri
Safi kabisa
 
Asante sana kwa maswali elekezi naomba nikupe maelezo zaidi
1.Aina ya uezekaji ni hiyo hapo kwenye picha
2.Mabati hayajaungwa vizuri mkuu. Kuna baadhi ya sehemu yanakokutana ndio kunavuja
3.Aina ya mabati hayo kwenye picha
Barikiwa sanaaa
CC QUIGLEY
 
View attachment 1532219

Ahsante kwa majibu mazuri. Mie sio mtaalam ila inarekebishika. Tatizo inawezakua uzoefu wa fundi aliyeezeka awali.
 
Asante sana kwa maswali elekezi naomba nikupe maelezo zaidi
1.Aina ya uezekaji ni hiyo hapo kwenye picha
2.Mabati hayajaungwa vizuri mkuu. Kuna baadhi ya sehemu yanakokutana ndio kunavuja
3.Aina ya mabati hayo kwenye picha
Barikiwa sanaaa
CC QUIGLEY
View attachment 1532219
Kama mdau mmoja alivyouliza hapo juu, mmoja wapo kativya haya yaweza kuwa sababu.
1. Baadhi ya misumari kugongwa pembeni
2. Vale kikaa vibaya...vale ni mifereji ya maji
3. Kofia kukaa upande
4. Bati kuungwa vibaya...kumbuka aina hiyo ya bati huwa haiungwi bali kila bati hujitegemea urefu wake kuanzi kofia ya bati hadi chini kwenye fascia board/ mnaita fishabodi.

Lakini inarekebishika usiogope.
Kubali kuingia hasara kidogo upata amani ya kudumu
 
Nikichunguza vizuri kwa mbaali naona hata migongo ya kofia imepinda, sio lazima niwe sahihi
Screenshot_20200809-174902.jpg
 
Kama mdau mmoja alivyouliza hapo juu, mmoja wapo kativya haya yaweza kuwa sababu.
1. Baadhi ya misumari kugongwa pembeni
2. Vale kikaa vibaya...vale ni mifereji ya maji
3. Kofia kukaa upande
4. Bati kuungwa vibaya...kumbuka aina hiyo ya bati huwa haiungwi bali kila bati hujitegemea urefu wake kuanzi kofia ya bati hadi chini kwenye fascia board/ mnaita fishabodi.

Lakini inarekebishika usiogope.
Kubali kuingia hasara kidogo upata amani ya kudumu
Asante mkuu,
Shida ilk kwenye sehemu chache ambapo nafasi kati bati moja linapoishia na lingine linapoanzia inaruhusu maji kupita
 
Dawa sio kurekebisha, fumua lote alafu fanya yafuatayo:-
1.ongeza slope ila isiwe kali sana min. 27dgr.
2.Ongeza idadi ya kenchi kama itabidi.
3.Usitumie bati za vipande vipande.
4.Hakikisha valley uunganishaji wake na bati ni mzuri.
5.Joint za bati na bati at least migongo miwili.
6.Tumia mbao zilizonyooka (purlins)
7.Ongeza purlins kama nyumba iko katika eneo enye upepo mkali ili kuunguza joint za bati kupenyeza maji wkati wa mvua za upepo.
8.Watoto/watu wazima walipande batini au kurusha vitu batini.
9.Nunua bati iliyo na gegi kubwa at least 28G.
10.Fanya usafi au Kata miti inayoelekea batini ili kupunguza uchafu utaokaosababisha kutu au maji kushindwa kutililika vizuri.
11.kofia za bati ziungwe vizuri na ziwe na ubora kama wa bati.
12.Ondoa vent zilizo kwenye bati au zitengeneze vizuri zisiwe ni chanzo cha maji kuingia ndani wakati wa mvua za upepo.
 
Asante sana mheshimiwa mjumbe.
Swali moja la mwisho, unofumua paa lote na kupaua upya unaweza rudia baadhi ya mbao au bati
Nataka kuwakilisha kama kama unavyoshauri bila kusahau kwamba MJUMBE HAUWAWI
 
Inategemea kama mbao zako ziliwekwa dawa /treated timber with pressure zina hali gani.
Bati nunua nyingine ukizirudia tatizo litakuwa lile lile/hapa fundi inabidi awe makini.
 
Habari ya jumapili wapendwa

Naomba ushauri kama kuna wajuzi wa kurekebisha paa la nyumba iliyopauliwa vibaya na kupelekea baadhi ya maeneo kuvuja.

Nawakilisha
Tatizo lako hata mimi limetokea kwenye nyumba yangu.
kuna baadhi ya sehemu kwenye joints bati zinaacha uwazi.
Bado naumiza kichwa jinsi ya kutatua hilo tatizo.
Ila huwezi kufumua paa lote kwa sababu ya leakage ndogo tu itakuwa uharibifu wa pesa maana yake ukianza upya inaweza ikakucost hata milioni 10 ili paa likamilike sasa si hasara hiyo.
 
1.rekebisha mfumo wa ukusanyaji maji /gutter.
2.hakikisha nyumba haiko jirani na miti yenye kudondosha uchafu juu ya paa.
3.Tengeneza mfumo mzuri wa maji yanayotoka batini /gutter kushusha chini.
4.Fanya usafi kabla ya mvua za masika.
5.Kama tatizo ni kubwa ezua bati lote tengeneza kench za chuma na bati zenye ubora mkubwa G26-28 kwa slope iliyo sahihi min. 15dgr ili usafishaji paa usiharibu bati kwa kubonyea bonyea hasa kwenye maungio.
6.Kama gharama za #5 ni kubwa fikiri kubadilisha design /kama kuta za nyumba tofari ni za kulaza--weka sakafu ya zege/(vyovyote utakavyoshauriwa na wataalamu) ili upatumie kwa matumizi mepesi mepesi.
 
Asante sana ndugu kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom