Wenye uhakika na hili tujuze

LWAKAPISI

Member
Mar 31, 2011
46
4
Hada UDOM kuna taarifa zisizo rasmi kuwa mkuu wa kitivo cha elimu pro:OSAKI ameacha kazi na kurejea T.I.E,kwa sasa kitivo hiki kinaongozwa na pro:MUTAHABA,wengine wanasema yupo likizo,wengine eti kaacha kazi kwa sababu ya serikali kutomwondoa MLACHA mahali hapa,mpaka hapo hakuna popote pale iliko taarifa rasmi kimaandishi juu ya hili kama wanavyofanya siku zote.Ila Osaki kutokuwepo hapa ilo ni kweli,yuko wapi na kwanini ndo haijulikani.
 
Back
Top Bottom