Wenye Tigo na Halotel wahini hii ofa ya kupewa GB 10 bure

App ya halotel nayo haifungui sehemu ya vifurushi dah hawataki kweli tumeshikwa ngojaa nikaunge GB 3 zao badala ya 7 tuangalia badae njia mbadala.
 
image-2021-10-24-11:24:36-142.jpg

ni kweli bana,asanteni
 
Mnaotumia Tigo msikate tamaa, mimi kwa siku kadhaa nimejaribu imekataa, ila leo usiku huu nikasema ngoja nijaribu tena kitu na box imeitika imoooo.

Kama unatumia Tigo jaribu kila siku itaitika tu nawahakikishia.

Ushahidi huu hapa.
Screenshot_20211024-225611.jpg
 
Tigo Wamenipa GB6.. Nimejaribu vitu vingi ila finally nimefanikiwa...

Kuhusu kasi ya internet naona iko sawa tu japo sikuwa naitumia hii line. Ni vile nimejaribu tu.

Mwenye swali aulize. 😄

IMG_20211025_013113.jpg
 
Tigo Wamenipa GB6.. Nimejaribu vitu vingi ila finally nimefanikiwa...

Kuhusu kasi ya internet naona iko sawa tu japo sikuwa naitumia hii line. Ni vile nimejaribu tu.

Mwenye swali aulize. 😄

View attachment 1985990
Mkuu umejaribu vitu vingi ndo vitu gani, na simu gani unatumia maana kuna bàadhi ya simu ndo inakubali
 
Mkuu umejaribu vitu vingi ndo vitu gani, na simu gani unatumia maana kuna bàadhi ya simu ndo inakubali
Jaribu kuweka salio la kawaida lisilopungua 1,000 kisha jiunge na kifurushi chochote kisichopungua 1,000.

Baada ya hapo jaribu tena.

Mimi nilifanya hivyo.
 
Halopesa hawapendi ujinga kabisa wameamua kutoa kabisa ila siku ikirudi wanarudi kivingine kabisa

Nafikiri wamekiuka baadhi ya kanuni za ushindani wa biashara maana GOOGLE PLAY SERVICE wakiona rate inakuwa kubwa lazima wafanye upelelezi na wamejua kwamba wanatumia MLUNGULA KWA KUPATA DOWNLOADER OR VIEW
Mkuu, mimi kuna watu nimewarushia hiyo app ya HALO PESA kutoka kwenye simu yangu (yaani hiyo app niliyonayo kwenye simu yangu) kwa WhatsApp, bluetooth na xender, inakubali.
 
Mkuu umejaribu vitu vingi ndo vitu gani, na simu gani unatumia maana kuna bàadhi ya simu ndo inakubali
Pia hakikisha unatazama salio kila ukimaliza kutuma msg. Maana kwa upande wangu mimi hawakunitumia msg ya kuunganishwa kifurushi ila nilipocheki salio ndipo nikakuta tayari.

Hivyo nisingeangalia salio pengine nisingejua kama tayari Wamenipa GB
 
Back
Top Bottom