Wenye nyumba sehemu za Middle Class msipangishe makahaba wanashusha hadhi maeneo, Sinza na Tabata hadhi zimeshuka

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Mji wowote huwa kuna maeneo tofauti huwa kuna maeneo ya high class ,middle class na low class

Kwa Dar es salaam Sinza ilipangiliwa ikapangika kuwa eneo la middle class la kuishi watu wenye heshima zao.Na kweli watu wenye heshima zao wakajenga vizuri tu
Tatizo likaanza law wenye nyumba kuanza kupangisha nyumba malaya.

Tabata pia ilikuwa sehemu ya watu wa heshima middle class kuishi ila kwa sasa limekuwa ni danguro la jiji kumejaa makahaba kila kona shauri ya wenye nyumba kupangisha malaya.
Hadhi ya Tabata imeshusha kama Sinza ilivyoshushwa

Makahaba Wameharibu Tabata kama walivyoharibu Sinza ambayo nayo ilikuwa sehemu ya heshima ya Middle Class
 
Ukiona hivo ujue tabata kuna soko lao kubwa wamerahisisha huduma yaani tunasema wamewasogezea huduma karibu waungisheni hela izunguke.
 
Nadhani ni suala kibiashara zaidi...... mwenye nyumba amejenga ili ajipatie kipato kwa njia ya Kodi na atampangisha yoyote anayeweza kulipia kulingana na makubaliano.......

Pia wadadisi wa mambo wanasema kuwa makahaba hawana longo longo kwenye suala zima la ulipaji wa kodi na kwenye kuitunza nyumba........
 
Wanasema makahaba hawasumbui kwenye kulipa kodi ndio maana wanapendwa na wenye nyumba.

Kama wana share chumba kimoja makahaba wawili wote wakienda kudanga hawawezi kukosa chochote, sio kama wafanyakazi mpaka wamlilie Samia awapandishie mshahara.
 
Sinza ilikua sehemu salama ya makazi, wenyeji wengi walikua na kipato kwa wakati ule. Kujenga na kuhamia maeneo mengine kama mbezi, kimara, bunju, tegeta kukapelekea nyumba zao kua za biashara kama upangaji, guest, maduka

Huwezi toa lawama
 
mhh hili jambo linakera ila ndo biashara za watu. zamani majirani zetu walikuwa ni familia sasa wameondoka wamepangisha. majirani wa sasa ndo hao makahaba na mashoga makelele ya muziki kutwa.
 
Wanasema makahaba hawasumbui kwenye kulipa kodi ndio maana wanapendwa na wenye nyumba.

Kama wana share chumba kimoja makahaba wawili wote wakienda kudanga hawawezi kukosa chochote, sio kama wafanyakazi mpaka wamlilie Samia awapandishie mshahara.
Ila hawa mademu wana hela kweli...yaani imaginne akilata mwanaume mmoja daily bao tatu laki soo yupo vizuri kabisa.
 
Sasa wasipowapangisha hao ambao huwataki wapangaji wengine utawapelekea wewe?.Maisha yameshakua magumu kila mtu anapambana na kile kilichoko mbele yake.Huu sio muda wakuchaguliana maisha wakati pesa yenyewe ya shida.Ukitaka hadhi kaishi ikulu.
 
Mji wowote huwa kuna maeneo tofauti huwa kuna maeneo ya high class ,middle class na low class

Kwa Dar es salaam Sinza ilipangiliwa ikapangika kuwa eneo la middle class la kuishi watu wenye heshima zao.Na kweli watu wenye heshima zao wakajenga vizuri tu
Tatizo likaanza law wenye nyumba kuanza kupangisha nyumba malaya.

Tabata pia ilikuwa sehemu ya watu wa heshima middle class kuishi ila kwa sasa limekuwa ni danguro la jiji kumejaa makahaba kila kona shauri ya wenye nyumba kupangisha malaya.
Hadhi ya Tabata imeshusha kama Sinza ilivyoshushwa

Makahaba Wameharibu Tabata kama walivyoharibu Sinza ambayo nayo ilikuwa sehemu ya heshima ya Middle Class
Hao ni makahaba middle class ndio maana wanamudu kodi zenu middle class. Huwezi kuwakuta wamepanga Masaki huko kuna makahaba high class wamepanga nyumba high class.
 
Wanasema makahaba hawasumbui kwenye kulipa kodi ndio maana wanapendwa na wenye nyumba.

Kama wana share chumba kimoja makahaba wawili wote wakienda kudanga hawawezi kukosa chochote, sio kama wafanyakazi mpaka wamlilie Samia awapandishie mshahara.
Wanasuluhisha pia migogoro ya ndoa hawa.
 
Back
Top Bottom