Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,620
- 5,510
Unakuta ni mmoja wa hao vijana waliopiga miayo jana kwenye kongamano alivimbewa matango. Nimemuuliza swali kama lako kaingia mitini.Alikuwa anasimami nini? Utakuwa umelishwa Matango pori wewe
View attachment 1028042
View attachment 1028043
View attachment 1028044
Jana Tarehe 20/02/2019 Taasisi ya Change Tannzania ya Mwaharakati Maria Tsehai Sarungi iliandaa Kongamano la kujadili kile walichokiita wajibu wao kwa Serikali. Kongamano hilo lilifadhiliwa na Foundation For Civil Society (FCS), Twaweza, Taasisi ya HIVOS kutoka Uholanzi na Open Society Initiative For East Africa (OSIEA). Mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yao ilikuwa ni Wenye nchi ni Wananchi' alikuwa ni generali Ulimwengu.
Nilifuatilia Mjadala wote wa Kongamano hilo na kimsingi nilichogundua ni kwamba Vijana wale waliokusanyika pale walikuwa wajazwa misemo kibao ambayo haina kichwa wala miguu. Kwamba Uanaharakati ni ishara ya mtu kuwa hai na kutokuwa Mwanaharakati ni ishara ya kuwa mfu. kwamba kati ya Utii na Uaminifu, vijana wachague kuwa Waaminifu bada ya Watiifu. Ni ujinga ujinga tu ilimradi kuwafurahisha Wafadhili wao na kulazimisha Watu wafanye vurugu nchini mwao.
Uwasilishaji wa Mada wa kiwango chini kabisa ambao sijawahi kuuona, Vijana wakabaki kung''aang'aa macho na kupiga Miayo hovyo hovyo.
Hivi kweli Serikali inayowapigania Watanzania kama hii ya awamu ya tano inaweza kudhoofishwa kwa kuwashawishi Vijana ujinga kama ule?
Hawa Change Tanzania wanafadhiliwa na Taasisi za ndani na nje badala ya kutumia Ufadhili huo kwa Mambo ya Msingi, wanakwenda kuwavalisha T-Shirt na kuwahadaa Vijana pale 'New Africa Hotel' kwa mambo ya hovyo hovyo.
Niwaase Vijana nchini kutokubali kutumiwa na akina Sarungi. Wamechukua picha Video wakawaoneshe Wafadhili ili wawape Fedha huku Vijana wakibaki wkishangaa.
MAria Sarungi mama yake ni Mpoland Baba ndiye Mtanzania (Mjaluo wa Rorya). Jenerali Ulimwengu aliwahi kukumbwa na tuhuma za kutokuwa Raia wa Tanzania. Wote hawa wana pakukimbilia endapo watafanikiwa kuiingiza nchi kwenye Machafuko.
Wale Vijana mliokuwa pale New Afrika jana ni kweli kabisa Wenye nchi ni Wananchi(JPM, Mimi na Ninyi) lakini siyo hawa wenye Rangi mbili tuwe makini,
Akili za kuambiwa na Watanzania Makanjanja (MARIA SARUNGI na JENERALI ULIMWENGU), Watanznia halisi tuchanganye na za Kwetu.
Hawana uelewa hao. Wamekaririshwa kuwa uzalendo ni kumshabikia kiongozi hata kama unaperekwa shimoniSio kila Mtu anaweza kusikiliza au kusoma na aka elewa Falsafa ,inawezekana kabisa wewe ndio hauja elewa Mkuu.Sijaona hata moja ulilo likosoa kwa Hoja ambalo lilitamkwa au kusemwa na walioandaa hilo Jambo.Zaidi umewa jadili Watu kwa Rangi zao na blah blah za hapa na pale.
Kichwa cha Habari yako kinaonesha usivyo elewa hao ulio wazungumzia nao wanayo Haki Kikatiba kama Wananchi wengine wa Tanzania kutoa Maoni yao.
Duh
Hao vijana walipata faida yoyote ya kuwepo?
Haya kanye ukalale buku 7View attachment 1028042
View attachment 1028043
View attachment 1028044
Jana Tarehe 20/02/2019 Taasisi ya Change Tannzania ya Mwaharakati Maria Tsehai Sarungi iliandaa Kongamano la kujadili kile walichokiita wajibu wao kwa Serikali. Kongamano hilo lilifadhiliwa na Foundation For Civil Society (FCS), Twaweza, Taasisi ya HIVOS kutoka Uholanzi na Open Society Initiative For East Africa (OSIEA). Mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yao ilikuwa ni Wenye nchi ni Wananchi' alikuwa ni generali Ulimwengu.
Nilifuatilia Mjadala wote wa Kongamano hilo na kimsingi nilichogundua ni kwamba Vijana wale waliokusanyika pale walikuwa wajazwa misemo kibao ambayo haina kichwa wala miguu. Kwamba Uanaharakati ni ishara ya mtu kuwa hai na kutokuwa Mwanaharakati ni ishara ya kuwa mfu. kwamba kati ya Utii na Uaminifu, vijana wachague kuwa Waaminifu bada ya Watiifu. Ni ujinga ujinga tu ilimradi kuwafurahisha Wafadhili wao na kulazimisha Watu wafanye vurugu nchini mwao.
Uwasilishaji wa Mada wa kiwango chini kabisa ambao sijawahi kuuona, Vijana wakabaki kung''aang'aa macho na kupiga Miayo hovyo hovyo.
Hivi kweli Serikali inayowapigania Watanzania kama hii ya awamu ya tano inaweza kudhoofishwa kwa kuwashawishi Vijana ujinga kama ule?
Hawa Change Tanzania wanafadhiliwa na Taasisi za ndani na nje badala ya kutumia Ufadhili huo kwa Mambo ya Msingi, wanakwenda kuwavalisha T-Shirt na kuwahadaa Vijana pale 'New Africa Hotel' kwa mambo ya hovyo hovyo.
Niwaase Vijana nchini kutokubali kutumiwa na akina Sarungi. Wamechukua picha Video wakawaoneshe Wafadhili ili wawape Fedha huku Vijana wakibaki wkishangaa.
MAria Sarungi mama yake ni Mpoland Baba ndiye Mtanzania (Mjaluo wa Rorya). Jenerali Ulimwengu aliwahi kukumbwa na tuhuma za kutokuwa Raia wa Tanzania. Wote hawa wana pakukimbilia endapo watafanikiwa kuiingiza nchi kwenye Machafuko.
Wale Vijana mliokuwa pale New Afrika jana ni kweli kabisa Wenye nchi ni Wananchi(JPM, Mimi na Ninyi) lakini siyo hawa wenye Rangi mbili tuwe makini,
Akili za kuambiwa na Watanzania Makanjanja (MARIA SARUNGI na JENERALI ULIMWENGU), Watanznia halisi tuchanganye na za Kwetu.
Jaribu na wewe umpelekee jiwe akujazeHapo Maria Sarungi ameshapata kitu cha kuandika kwenye ripoti yake atakayowapelekea wadhamini waendelee kumjazia mkwanja.
.Vijana wanataka ajira sio hizo porojo ndio maana walikuwa wakipiga miayo tatizo lao halikuwa addressed na watoa mada
Wapuuzwe mara ngapi? Nakuhakikishia wangekuwa walijikausha kimya Bila longo longo na uraia tata wao Ulimwengu angeweza kufikia hadi cheo cha Waziri mkuu nyota yake ilivyokuwa iking'ara enzi zake.Na huyo Maria Sarungi angekuwa hata balozi mkubwa mno hata kimataifa kuwa balozi mkubwa wa Tanzania ana akili nyingi ambazo kaziharibu mwenyewe na kuziweka na kujiweka mwenyewe kwenye Dustbin.
Mnachokitafuta mtakipataAcha hizo! kwani kuwa na rangi mbili inaondoa haki ya kuelimisha wananchi? huo uraia wa Ulimwengu huenda ni raia wa Tanzania kuliko wewe!
Walijipatia maji ya kunywa spesho (chupa) tu. Vijana wa kitanzania wanahitaji Elimu ya mafunzo katika kujikwamua katika changamoto za kila siku na sio hizi propaganda Uchwara za hawa wazandiki. Maana mwisho wa siku wanawajaza upepo wee wakiingia barabarani au wakiangukia mikononi mwa Vyombo vya Dola haoenekani Maria Sarungi wala Jenerali Dunia Central Police au Mahakamani.
Vijana kataeni kutumika.
Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana kwa kukubali kuchezewa na wajanja fulani kwa manufaa yao Binafsi.
Hao kina Maria Sarungi & Co wamekulia kwenye mfumo huo na kuzitafuna ipasavyo pesa za walipa kodi. Hawana chembe ya uwanaharakati bali kuhadaa vijana wasio na matumaini ya maisha.
Maria Sarungi & Co hawajui shida ni nini...hawajui adha ya usafiri wa madaladala..hawajui adha ya huduma ya afya n.k. Kwa sababu hawajapitia hayo yote.
Wanachojua wao ni Tweeter na kutafuta Kiki za kipuuzi.
Vijana wa kitanzania kataeni kutumika na hawa Wanaharakati Uchwara. Mwisho wa siku litakalokukuta utapambana nalo Wewe na familia yako.....hautamuona Maria wala Fatma pale sentro au Mahakamani.
Sina tatizo hilo.Jaribu na wewe umpelekee jiwe akujaze
Alikuwa anasimami nini? Utakuwa umelishwa Matango pori wewe
Hapo Maria Sarungi ameshapata kitu cha kuandika kwenye ripoti yake atakayowapelekea wadhamini waendelee kumjazia mkwanja.
Chunguza kwanza vizuri kama huyo aneyepaswa kutoa hiyo elimu ya mafunzo ya kujikwamua kama anafanya kazi yake sawa sawa ndipo urudi kuandika upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa una matatizo ya akili kamanda. Wahi ukapate tiba stahiki.Akili yako iko tenge wewe, kafuatilie vizuri waliozitafuna na wanaondelea kuzitafuna kodi zenu,anza na ripoti ya CAG.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbinu zenu za kutisha tisha watu zimepitwa na wakati...jibini hojaView attachment 1028042