Wenye Nchi ya Tanzania ni wananchi Watanzania sio Maria Sarungi na Jenerali Ulimwengu

Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana kwa kukubali kuchezewa na wajanja fulani kwa manufaa yao Binafsi.
Hao kina Maria Sarungi & Co wamekulia kwenye mfumo huo na kuzitafuna ipasavyo pesa za walipa kodi. Hawana chembe ya uwanaharakati bali kuhadaa vijana wasio na matumaini ya maisha.
Maria Sarungi & Co hawajui shida ni nini...hawajui adha ya usafiri wa madaladala..hawajui adha ya huduma ya afya n.k. Kwa sababu hawajapitia hayo yote.
Wanachojua wao ni Tweeter na kutafuta Kiki za kipuuzi.
Vijana wa kitanzania kataeni kutumika na hawa Wanaharakati Uchwara. Mwisho wa siku litakalokukuta utapambana nalo Wewe na familia yako.....hautamuona Maria wala Fatma pale sentro au Mahakamani.
 
Ulimwengu alijiuzulu u-DC na ni kwa ajili ya kusimamia anachokiamini. Hakufukuzwa na mtu yeyote.
Alisimamia alichokiamini kipi!? Kwa taarifa yako Ulimwengu hakujiudhuru bali alitakiwa afanye hivyo mara moja na Mh. Rais wa awamu ile. Hakuna mnayoyajua kazi kupotosha tu umma.
Ukiishi kwenye nyumba ya Vioo usiwe hodari wa kurushia mawe wengine.
 
View attachment 1028042
View attachment 1028043
View attachment 1028044
Jana Tarehe 20/02/2019 Taasisi ya Change Tannzania ya Mwaharakati Maria Tsehai Sarungi iliandaa Kongamano la kujadili kile walichokiita wajibu wao kwa Serikali. Kongamano hilo lilifadhiliwa na Foundation For Civil Society (FCS), Twaweza, Taasisi ya HIVOS kutoka Uholanzi na Open Society Initiative For East Africa (OSIEA). Mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yao ilikuwa ni Wenye nchi ni Wananchi' alikuwa ni generali Ulimwengu.
Nilifuatilia Mjadala wote wa Kongamano hilo na kimsingi nilichogundua ni kwamba Vijana wale waliokusanyika pale walikuwa wajazwa misemo kibao ambayo haina kichwa wala miguu. Kwamba Uanaharakati ni ishara ya mtu kuwa hai na kutokuwa Mwanaharakati ni ishara ya kuwa mfu. kwamba kati ya Utii na Uaminifu, vijana wachague kuwa Waaminifu bada ya Watiifu. Ni ujinga ujinga tu ilimradi kuwafurahisha Wafadhili wao na kulazimisha Watu wafanye vurugu nchini mwao.

Uwasilishaji wa Mada wa kiwango chini kabisa ambao sijawahi kuuona, Vijana wakabaki kung''aang'aa macho na kupiga Miayo hovyo hovyo.

Hivi kweli Serikali inayowapigania Watanzania kama hii ya awamu ya tano inaweza kudhoofishwa kwa kuwashawishi Vijana ujinga kama ule?

Hawa Change Tanzania wanafadhiliwa na Taasisi za ndani na nje badala ya kutumia Ufadhili huo kwa Mambo ya Msingi, wanakwenda kuwavalisha T-Shirt na kuwahadaa Vijana pale 'New Africa Hotel' kwa mambo ya hovyo hovyo.

Niwaase Vijana nchini kutokubali kutumiwa na akina Sarungi. Wamechukua picha Video wakawaoneshe Wafadhili ili wawape Fedha huku Vijana wakibaki wkishangaa.

MAria Sarungi mama yake ni Mpoland Baba ndiye Mtanzania (Mjaluo wa Rorya). Jenerali Ulimwengu aliwahi kukumbwa na tuhuma za kutokuwa Raia wa Tanzania. Wote hawa wana pakukimbilia endapo watafanikiwa kuiingiza nchi kwenye Machafuko.
Wale Vijana mliokuwa pale New Afrika jana ni kweli kabisa Wenye nchi ni Wananchi(JPM, Mimi na Ninyi) lakini siyo hawa wenye Rangi mbili tuwe makini,
Akili za kuambiwa na Watanzania Makanjanja (MARIA SARUNGI na JENERALI ULIMWENGU), Watanznia halisi tuchanganye na za Kwetu.
Huwa mkiamua kuvaa "suti za kuogelea" katikati ya soko la kijiji mnaamua hasa.Kwa hiyo umekereka wao kuongea.Uzi umejaa ubaguzi na bezo kama unasutana mtaani.Halafu;Nani amesema JPM ni Mtanzania halisi?
 
jeneral twaha Ulimwengu ni mzalendo kulikowewe mpuuzi uliyeandika hapa. narudia tena mpuuzi. wewe umefikia hadhi ya kutupangia hata ya kusikiliza na kusoma? wewe ni nani hadi utupangie? mnafaidika na ujinga wa watanzania hivyo mnataka kila siku wabaki vilevile?
jeneral anapakukimbilia ? mtu amelipigania taifa maisha yake yote we leo unaleta ujinga wako wa kumuita mkimbozi?
Kama kweli unauhakika weka hapa hukumu ya kesi yake iliyosema yye sio raia.
ACHA UKAFR WAKO WA KILUMUMBA HAPA
 
Ulimwengu alijiuzulu u-DC na ni kwa ajili ya kusimamia anachokiamini. Hakufukuzwa na mtu yeyote.
Pombe zilimfukuzisha baada ya kuandikiwa barua ajieleze kwa nini asichukuliwe hatua kwa kushinda akilewa pombe badala ya kuwa ofisini na kwa nini asichukuliwe hatua kwa kumsema Raisi na serikali vibaya wakati yeye ni kiongozi wa serikali hiyo hiyo.Badala ya kujibu barua akatangaza kujiuzulu kuepuka aibu ya kutangazwa kuwa katumbuliwa na Raisi
 
View attachment 1028042
View attachment 1028043
View attachment 1028044
Jana Tarehe 20/02/2019 Taasisi ya Change Tannzania ya Mwaharakati Maria Tsehai Sarungi iliandaa Kongamano la kujadili kile walichokiita wajibu wao kwa Serikali. Kongamano hilo lilifadhiliwa na Foundation For Civil Society (FCS), Twaweza, Taasisi ya HIVOS kutoka Uholanzi na Open Society Initiative For East Africa (OSIEA). Mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yao ilikuwa ni Wenye nchi ni Wananchi' alikuwa ni generali Ulimwengu.
Nilifuatilia Mjadala wote wa Kongamano hilo na kimsingi nilichogundua ni kwamba Vijana wale waliokusanyika pale walikuwa wajazwa misemo kibao ambayo haina kichwa wala miguu. Kwamba Uanaharakati ni ishara ya mtu kuwa hai na kutokuwa Mwanaharakati ni ishara ya kuwa mfu. kwamba kati ya Utii na Uaminifu, vijana wachague kuwa Waaminifu bada ya Watiifu. Ni ujinga ujinga tu ilimradi kuwafurahisha Wafadhili wao na kulazimisha Watu wafanye vurugu nchini mwao.

Uwasilishaji wa Mada wa kiwango chini kabisa ambao sijawahi kuuona, Vijana wakabaki kung''aang'aa macho na kupiga Miayo hovyo hovyo.

Hivi kweli Serikali inayowapigania Watanzania kama hii ya awamu ya tano inaweza kudhoofishwa kwa kuwashawishi Vijana ujinga kama ule?

Hawa Change Tanzania wanafadhiliwa na Taasisi za ndani na nje badala ya kutumia Ufadhili huo kwa Mambo ya Msingi, wanakwenda kuwavalisha T-Shirt na kuwahadaa Vijana pale 'New Africa Hotel' kwa mambo ya hovyo hovyo.

Niwaase Vijana nchini kutokubali kutumiwa na akina Sarungi. Wamechukua picha Video wakawaoneshe Wafadhili ili wawape Fedha huku Vijana wakibaki wkishangaa.

MAria Sarungi mama yake ni Mpoland Baba ndiye Mtanzania (Mjaluo wa Rorya). Jenerali Ulimwengu aliwahi kukumbwa na tuhuma za kutokuwa Raia wa Tanzania. Wote hawa wana pakukimbilia endapo watafanikiwa kuiingiza nchi kwenye Machafuko.
Wale Vijana mliokuwa pale New Afrika jana ni kweli kabisa Wenye nchi ni Wananchi(JPM, Mimi na Ninyi) lakini siyo hawa wenye Rangi mbili tuwe makini,
Akili za kuambiwa na Watanzania Makanjanja (MARIA SARUNGI na JENERALI ULIMWENGU), Watanznia halisi tuchanganye na za Kwetu.
Ufahamu wako ni mdogo sana !!. Kama aina yako ndiyo walioko CCM na ni wanaotarajiwa kupewa hata u DC !!. Basi Tz ina safari ndefu sana hata kuiona nuru.

1.Utashabikia Je u dictator na mauaji ya wapinzani wako ?!.
2.Utashabikia Je wasiojulikana kuendelea kupoteza watu ?!
3.Utashabikia Je kubaki na katiba ya 1977 ?!.
4.Utashabikia Je kufanya chaguzi za kiinimacho, ya tume hii ya ma DED halafu unatamba kuwa mnakubalika ?!.

Maria Sarungi na General Ulimwengu wanazo hoja. Maghufuli alipatikana ki democracy. Mbona yeye haitaki democracy iliyomuweka madarakani ?!

Maendeleo unayodhani yanafanyika na awamu ya 5, umeshayalinganisha na kukua kwa deni la taifa ndani ya miaka mitatu ya Maghufuli ?!. Au wewe ni kushangilia hata kama watu wamejisaidia ?!

Tata Madiba unalidhalilisha jina la Mandela , hakuwa mnafiki kama wewe unaefukuzia u DC au u Ded

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana kwa kukubali kuchezewa na wajanja fulani kwa manufaa yao Binafsi.
Hao kina Maria Sarungi & Co wamekulia kwenye mfumo huo na kuzitafuna ipasavyo pesa za walipa kodi. Hawana chembe ya uwanaharakati bali kuhadaa vijana wasio na matumaini ya maisha.
Maria Sarungi & Co hawajui shida ni nini...hawajui adha ya usafiri wa madaladala..hawajui adha ya huduma ya afya n.k. Kwa sababu hawajapitia hayo yote.
Wanachojua wao ni Tweeter na kutafuta Kiki za kipuuzi.
Vijana wa kitanzania kataeni kutumika na hawa Wanaharakati Uchwara. Mwisho wa siku litakalokukuta utapambana nalo Wewe na familia yako.....hautamuona Maria wala Fatma pale sentro au Mahakamani.
kwani nyie ccm hamtuchezei akili mmechukua korosho zetu malipo hakuna mmeamua kuludisha
mlituntudanganya milioni hamsini kila kijiji hatuzioni
tena nyie ndio waongo wakubwa
bora hata hao kwenu mnao waona hawana maana sababu mnataka tuendelee kuwa wajinga ili mtutawale vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1028042
View attachment 1028043
View attachment 1028044
Jana Tarehe 20/02/2019 Taasisi ya Change Tannzania ya Mwaharakati Maria Tsehai Sarungi iliandaa Kongamano la kujadili kile walichokiita wajibu wao kwa Serikali. Kongamano hilo lilifadhiliwa na Foundation For Civil Society (FCS), Twaweza, Taasisi ya HIVOS kutoka Uholanzi na Open Society Initiative For East Africa (OSIEA). Mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yao ilikuwa ni Wenye nchi ni Wananchi' alikuwa ni generali Ulimwengu.
Nilifuatilia Mjadala wote wa Kongamano hilo na kimsingi nilichogundua ni kwamba Vijana wale waliokusanyika pale walikuwa wajazwa misemo kibao ambayo haina kichwa wala miguu. Kwamba Uanaharakati ni ishara ya mtu kuwa hai na kutokuwa Mwanaharakati ni ishara ya kuwa mfu. kwamba kati ya Utii na Uaminifu, vijana wachague kuwa Waaminifu bada ya Watiifu. Ni ujinga ujinga tu ilimradi kuwafurahisha Wafadhili wao na kulazimisha Watu wafanye vurugu nchini mwao.

Uwasilishaji wa Mada wa kiwango chini kabisa ambao sijawahi kuuona, Vijana wakabaki kung''aang'aa macho na kupiga Miayo hovyo hovyo.

Hivi kweli Serikali inayowapigania Watanzania kama hii ya awamu ya tano inaweza kudhoofishwa kwa kuwashawishi Vijana ujinga kama ule?

Hawa Change Tanzania wanafadhiliwa na Taasisi za ndani na nje badala ya kutumia Ufadhili huo kwa Mambo ya Msingi, wanakwenda kuwavalisha T-Shirt na kuwahadaa Vijana pale 'New Africa Hotel' kwa mambo ya hovyo hovyo.

Niwaase Vijana nchini kutokubali kutumiwa na akina Sarungi. Wamechukua picha Video wakawaoneshe Wafadhili ili wawape Fedha huku Vijana wakibaki wkishangaa.

MAria Sarungi mama yake ni Mpoland Baba ndiye Mtanzania (Mjaluo wa Rorya). Jenerali Ulimwengu aliwahi kukumbwa na tuhuma za kutokuwa Raia wa Tanzania. Wote hawa wana pakukimbilia endapo watafanikiwa kuiingiza nchi kwenye Machafuko.
Wale Vijana mliokuwa pale New Afrika jana ni kweli kabisa Wenye nchi ni Wananchi(JPM, Mimi na Ninyi) lakini siyo hawa wenye Rangi mbili tuwe makini,
Akili za kuambiwa na Watanzania Makanjanja (MARIA SARUNGI na JENERALI ULIMWENGU), Watanznia halisi tuchanganye na za Kwetu.
Hapo Maria Sarungi ameshapata kitu cha kuandika kwenye ripoti yake atakayowapelekea wadhamini waendelee kumjazia mkwanja.
 
kwani nyie ccm hamtuchezei akili mmechukua korosho zetu malipo hakuna mmeamua kuludisha
mlituntudanganya milioni hamsini kila kijiji hatuzioni
tena nyie ndio waongo wakubwa
bora hata hao kwenu mnao waona hawana maana sababu mnataka tuendelee kuwa wajinga ili mtutawale vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka ushahidi Mahakamani tukutane huko kamanda.
 
View attachment 1028042
View attachment 1028043
View attachment 1028044
Jana Tarehe 20/02/2019 Taasisi ya Change Tannzania ya Mwaharakati Maria Tsehai Sarungi iliandaa Kongamano la kujadili kile walichokiita wajibu wao kwa Serikali. Kongamano hilo lilifadhiliwa na Foundation For Civil Society (FCS), Twaweza, Taasisi ya HIVOS kutoka Uholanzi na Open Society Initiative For East Africa (OSIEA). Mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yao ilikuwa ni Wenye nchi ni Wananchi' alikuwa ni generali Ulimwengu.
Nilifuatilia Mjadala wote wa Kongamano hilo na kimsingi nilichogundua ni kwamba Vijana wale waliokusanyika pale walikuwa wajazwa misemo kibao ambayo haina kichwa wala miguu. Kwamba Uanaharakati ni ishara ya mtu kuwa hai na kutokuwa Mwanaharakati ni ishara ya kuwa mfu. kwamba kati ya Utii na Uaminifu, vijana wachague kuwa Waaminifu bada ya Watiifu. Ni ujinga ujinga tu ilimradi kuwafurahisha Wafadhili wao na kulazimisha Watu wafanye vurugu nchini mwao.

Uwasilishaji wa Mada wa kiwango chini kabisa ambao sijawahi kuuona, Vijana wakabaki kung''aang'aa macho na kupiga Miayo hovyo hovyo.

Hivi kweli Serikali inayowapigania Watanzania kama hii ya awamu ya tano inaweza kudhoofishwa kwa kuwashawishi Vijana ujinga kama ule?

Hawa Change Tanzania wanafadhiliwa na Taasisi za ndani na nje badala ya kutumia Ufadhili huo kwa Mambo ya Msingi, wanakwenda kuwavalisha T-Shirt na kuwahadaa Vijana pale 'New Africa Hotel' kwa mambo ya hovyo hovyo.

Niwaase Vijana nchini kutokubali kutumiwa na akina Sarungi. Wamechukua picha Video wakawaoneshe Wafadhili ili wawape Fedha huku Vijana wakibaki wkishangaa.

MAria Sarungi mama yake ni Mpoland Baba ndiye Mtanzania (Mjaluo wa Rorya). Jenerali Ulimwengu aliwahi kukumbwa na tuhuma za kutokuwa Raia wa Tanzania. Wote hawa wana pakukimbilia endapo watafanikiwa kuiingiza nchi kwenye Machafuko.
Wale Vijana mliokuwa pale New Afrika jana ni kweli kabisa Wenye nchi ni Wananchi(JPM, Mimi na Ninyi) lakini siyo hawa wenye Rangi mbili tuwe makini,
Akili za kuambiwa na Watanzania Makanjanja (MARIA SARUNGI na JENERALI ULIMWENGU), Watanznia halisi tuchanganye na za Kwetu.
Lumumba mmebakisha akili za kulengea Tundu la choo tu!!!!!
 
Uchakaramu sio uadilifu .Bali uchakaramu wao ndio ulisababisha.Mfano huyo Generali Ulimwengu alipewa ukuu wa wilaya ya Ilala akawa kutwa analewa pombe tu badala ya kuwa ofisini kufanya kazi za ukuu wa wilaya na akawa kutwa kulalamika na kumsema Raisi vibaya kuwa yeye hakustahili kupewa ukuu wa wilaya alitakiwa apewe nafasi kubwa zaidi akawa akiporomoshea matusi Raisi na serikali badala.ya kukomaa kufanya kazi za ukuu wa wilaya .Akatemwa Moja kwa Moja hadi kesho kaachwa abweke barabarani
Akili ya kulengea tundu la choo ndiyo iliyobaki huko lumumba,Ulimwengu alijiuzulu!
 
View attachment 1028042
View attachment 1028043
View attachment 1028044
Jana Tarehe 20/02/2019 Taasisi ya Change Tannzania ya Mwaharakati Maria Tsehai Sarungi iliandaa Kongamano la kujadili kile walichokiita wajibu wao kwa Serikali. Kongamano hilo lilifadhiliwa na Foundation For Civil Society (FCS), Twaweza, Taasisi ya HIVOS kutoka Uholanzi na Open Society Initiative For East Africa (OSIEA). Mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yao ilikuwa ni Wenye nchi ni Wananchi' alikuwa ni generali Ulimwengu.
Nilifuatilia Mjadala wote wa Kongamano hilo na kimsingi nilichogundua ni kwamba Vijana wale waliokusanyika pale walikuwa wajazwa misemo kibao ambayo haina kichwa wala miguu. Kwamba Uanaharakati ni ishara ya mtu kuwa hai na kutokuwa Mwanaharakati ni ishara ya kuwa mfu. kwamba kati ya Utii na Uaminifu, vijana wachague kuwa Waaminifu bada ya Watiifu. Ni ujinga ujinga tu ilimradi kuwafurahisha Wafadhili wao na kulazimisha Watu wafanye vurugu nchini mwao.

Uwasilishaji wa Mada wa kiwango chini kabisa ambao sijawahi kuuona, Vijana wakabaki kung''aang'aa macho na kupiga Miayo hovyo hovyo.

Hivi kweli Serikali inayowapigania Watanzania kama hii ya awamu ya tano inaweza kudhoofishwa kwa kuwashawishi Vijana ujinga kama ule?

Hawa Change Tanzania wanafadhiliwa na Taasisi za ndani na nje badala ya kutumia Ufadhili huo kwa Mambo ya Msingi, wanakwenda kuwavalisha T-Shirt na kuwahadaa Vijana pale 'New Africa Hotel' kwa mambo ya hovyo hovyo.

Niwaase Vijana nchini kutokubali kutumiwa na akina Sarungi. Wamechukua picha Video wakawaoneshe Wafadhili ili wawape Fedha huku Vijana wakibaki wkishangaa.

MAria Sarungi mama yake ni Mpoland Baba ndiye Mtanzania (Mjaluo wa Rorya). Jenerali Ulimwengu aliwahi kukumbwa na tuhuma za kutokuwa Raia wa Tanzania. Wote hawa wana pakukimbilia endapo watafanikiwa kuiingiza nchi kwenye Machafuko.
Wale Vijana mliokuwa pale New Afrika jana ni kweli kabisa Wenye nchi ni Wananchi(JPM, Mimi na Ninyi) lakini siyo hawa wenye Rangi mbili tuwe makini,
Akili za kuambiwa na Watanzania Makanjanja (MARIA SARUNGI na JENERALI ULIMWENGU), Watanznia halisi tuchanganye na za Kwetu.
Mjinga wa hiari wewe. Nina maana unajitakia ujinga na kututangazia ujinga wako. Tumekusikia Hatudanganyiki
 
Pombe zilimfukuzisha baada ya kuandikiwa barua ajieleze kwa nini asichukuliwe hatua kwa kushinda akilewa pombe badala ya kuwa ofisini na kwa nini asichukuliwe hatua kwa kumsema Raisi na serikali vibaya wakati yeye ni kiongozi wa serikali hiyo hiyo.Badala ya kujibu barua akatangaza kujiuzulu kuepuka aibu ya kutangazwa kuwa katumbuliwa na Raisi

Mbona hakufukuzwa RC wake ambae ndie alikuwa mzururaji na ofisini hakai? Ccm huwa mnapenda kuwaharibia majina watu wote wanaoonyesha msimamo.
 
nyie endeleeni kusema kamanda mnajua kila mtu ni chadema akisema ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbona umeniita CCM...au wewe ulinipa Kadi ya CCM!? Pumbafu mkubwa wewe!
Mnajiona nyinyi ndio mna haki ya kuvalisha watu majoho ya vyama kwa mitazamo Yao tofauti, ila mkivalishwa nyinyi mapovu yanawatoka!
Pathetic baboon!
 
Back
Top Bottom