Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Status
Not open for further replies.
Magaidi huwa wanaweza kusahau mambo yote Ila sio kulipiza kisasi

Kisasi chake huwa Ni breaking news ya Dunia

'Mtu anaeua Na kubaka mama, Dada Na Ahli zako hawezi kuacha kufanya hivyo kwa kuandamana, kuchoma bendera Za Nchi yao au kwa kufanya Midahalo ya kulaani'

Hakikisha na wao wanafuta Machozi Kama mnavyofuta Nyie, watoe miili ya ndugu zao Kwenye vifusi Kama mnavyotoa nyie...'- Abubakar Shakau

Ni lugha Za kichochezi Na hazifai lakin Zina ujumbe muhimu Na wa wazi Kama ni mwenye kutafakari
Watu wa Nairobi wakae mkao wa kula hili shambulio litalipizwa!
 
Nyama choma wapi, yaani mnategemea marekani ndio aje awakingie mgongo dhidi ya wavaa ndala. Hivi majeshi yenu yote yanafanya kazi gani kubabake zenu!!!

Natamani siku alshabaab waje wavamie nyumba kwa nyumba Nairobi nzima wawapige ukuni katikati ya makalio.
 
Hamna vita mbaya kama kupigana na mtu anayependa kufa kuliko unavyopenda kuishi.

kenya waongeze umakini maana hawa terrorists lazima wajipange kurudi
 
International city?? What the F****!!
Mara ngapi Wanaume kutoka Kismayo wamekuja kuchinja chinja vikenya na majeshi yenu yanabaki kukodoa macho.
Nitawaita tena waje wakijambishe, endelea kuchonga domo lako.
Matak* wewe utawaita si uje wewe mwenyewe. Nitapambana na wewe mimi mwenyewe. Huku hatucheki na wapuuzi kama nyinyi.
 
Nyama choma wapi, yaani mnategemea marekani ndio aje awakingie mgongo dhidi ya wavaa ndala. Hivi majeshi yenu yote yanafanya kazi gani kubabake zenu!!!

Natamani siku alshabaab waje wavamie nyumba kwa nyumba Nairobi nzima wawapige ukuni katikati ya makalio.
Nini hii unacoment,??hizi akili gani hizi
 
Ta


Tatizo ni wajinga

Upigwe na wanajeshi

Ukalipe sokoni ambako hawajuwi lolote. Watoto, wanawake nk

Nawachukia sababu husabisha maafa kwa RAIA wema wasio na hatia na wasiojuwa lolote
Sio wajinga tu tena ni waoga sana wanapenda kutishia kuliko kuonesha uwezo wao wangekuwa wanavamiaga kambi za jeshi kenya ningewaona wa maana sana ila kwa uwonga wanavamia watu ambao wengine silaha wamezionaga kwenye muvi tu, shame upo them

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Intelijensia kali inahitajika kupambana na magaidi kwa sababu upigaji wao ni wa kuvizia, kwa kifupi ni waoga.

Na njia nyengine nzuri ya kudili nao ni kuua ndugu zao hadi wazazi wao kama wapo hai. Ikiwezekana koo zao nazo mnaziua ili nao wajue uchungu wa kuuwa kwa wapendwa wao.
Ukiua ndugu zao sio ishu maana kuna wengine ambao hawasapotiwi kabisa na jamaa zao kwa ujinga wanaofanya wengine hata jamaa zao hawajui kuwa wanafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini kwanza ukampige huyo jirani yako?
Kwanini unaanza kuchokoza Mtu ambae hana time Na Wewe ?

Wewe unadhan Yale Madege yanayoporomosha Makombora Middle East wote wanaouawa wana hatia?

Yaan kwa unafiki kabisa unajifanya hujui Kuwa Wanaouawa bila ya hatia Middle East Ni wengi Kuliko wenye hatia
Unaweza ukawa upo sawa lakin hili ni tofauti na wao magaidi wanavyofanya wao wanawalenga watu moja kwa moja ugngeniambia wao wamevamia kambi ya jeshi kenya halafu wasio na hatia wakauwa kidogo unaeleweka lakin sio kwenda kuvamia watu wamelala zao hotelini na unajiita jasiri et upo vitani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom