Wenye michepuko pitia hapa

Sisi wenyewe wanaume ndo tunakosea sana tena sana unakua na mchepuko alaf unajifanya unaumpenda kuliko wife wako si upumbafu unajifanya ulikosea kuoa siju nnn!! mambo kibao bas na mchepuko nao unakufanyia maigizo kwa nn usipotee ukamsahau mkeo lakin ukiwa na msimamo unamwambia kibisa me nina mke tena nampenda na ni mzuri ila to mimi uroho wang na tamaa zangu ndo nipo hapa kwaiyo tufanye yetu nikupe chako tuishane sidhan kama kuna mchepuko utakuganda
 
hahaaaaa ww ukita mchepuko usikugande kuwa mchungu tu na hela yako wala hautakusumbua

lakini umemwambia una mke una mpenda na kwake matumizi ya uwakika kukuganda lazima
 
tatizo sio ela kutaka kua juu zaid ya wife apo ndo shida inapokuaja na wanaume weng ndo tuna fell apo
 
Wakati mwingine sisi wenyewe tunawapa michepuko siri za nyumba zetu,baada tu ya kupewa mapenzi ambayo mama wa njia kuu hajawahi kukupa.
 
Habari jf
Nimegundua michepuko inapendwa sana kuliko njia kuu...
Ushauri wangu,hayo mapenzi unayompa mchepuko ukiyaamishia kwa wife au hubby hakuna migogoro wala ndoa kuvunjika.
Ukitaka kuprove ANZA LEO.
ASANTE

Kwa hiyo wasio na michepuko tusisome hii thread?
 
Sisi wenyewe wanaume ndo tunakosea sana tena sana unakua na mchepuko alaf unajifanya unaumpenda kuliko wife wako si upumbafu unajifanya ulikosea kuoa siju nnn!! mambo kibao bas na mchepuko nao unakufanyia maigizo kwa nn usipotee ukamsahau mkeo lakin ukiwa na msimamo unamwambia kibisa me nina mke tena nampenda na ni mzuri ila to mimi uroho wang na tamaa zangu ndo nipo hapa kwaiyo tufanye yetu nikupe chako tuishane sidhan kama kuna mchepuko utakuganda
Hahahaha....ila kweli asee
 
Wakati mwingine sisi wenyewe tunawapa michepuko siri za nyumba zetu,baada tu ya kupewa mapenzi ambayo mama wa njia kuu hajawahi kukupa.
Umeonge pint mkuu unakuta jitu lipo na mchepuko mkewe anampogia sim anaanza kufoke eboo! Asa apo mchepuko si unaupa kichwa
 
Nao mwili kuonekana na kila mtu ni dharau sana.Ndo maana heshima inapungua kila siku katika jamii
 
Back
Top Bottom