Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,636
- 3,333
Kumekuwa na tabia nyingi za watu.kujinasibu.kwenye mitandao ya.kijamii kama ni.matajiri mipicha ya nyumba za fahari, maisha ya fahari,magari ya kifahari sasa tunaomba TRA ifanye kama America IRS. Kuangalia background financial history na Tax payment compliance.
Haiingii akilini mtu ana kiduka cha.nguo za china sinza ana range rover na Tax paying history yake ni void. Huyu ana maswali ya kujibu kipato chake kikoje na shughuli ipi halali inampatia kipato.
Kuna wimbi la vijana wanaendesha magari ya bei ghali lakini ukiuliza biashara au ofisi au hata bank account hawana. Ni lazima tubadilike wote kwa ujumla tulipe kodi