Wenye 'Mahausigeli' muwe mnafanya 'impromptu visits' Makwenu, kwani yanayoendelea kwa Watoto wenu mkiwa hampo ni makubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,992
2,000
Yaani nimeumizwa na kodi ya miamala na wewe unataka uniue kwa kicheko?
Najua kuwa Suala la Kodi limetuumiza wengi hivyo kama 'Game Changer' nikaona niwatoe huko kidogo na mburudike huku kwa 'Ukomedi' kidogo nikiamini ukicheka ( mkicheka ) Hasira zenu zitapungua. Kuna muda nikiona JF imepigwa 'Ganzi' nalazimika kuja na Kitu cha 'Kuburudisha' na cha 'Mjadala' pia ili tu Maisha yaende Rafiki yangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom