Wenye Magari Tafadhali Pata Km 15,000 Maintanance Free!!

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Jipatie Oil ya SYNTHETIC,Oil ya kisasa kwa magari model za killeo
Oil hii itakupa km 15,000 za Mileage kab la ya kufanya service tena ukilinganisha na oil ziendazo kilomita 3,000
Utaokoa vifuatavyo

  • Manunuzi ya oil mara 4
  • Manunuzi ya Filter mara 4
  • Malipo ya Service ya gari mara 4
  • MUDA wa ku-service gari mara 4
  • Utatumia mafuta vizuri zaidi
  • Gari yako itadumu zaidi huku ikiperform kama inavyotakiwa

Mawasiliano
0754 609090
0655 609090
0784 609090
0773 609090
Sinza Mori Nyuma ya Bigbon Filling Station,Plot 27A

Welcome to Universal Lubricants

Vilainishi bora kwa Magari,Mitambo ya Viwanda na Migodi,Boats,Pikipiki,Mitambo ya ujenzi nk vinavyotengenezwa kwa Teknolojia ya Kijerumani na vilivyopendekezwa duniani kote kwa bei utakayoimudu!

Zinol Sticker_A3 - Unisyn 15000.jpg
 
Una gear box transmission fluid special kwa CTV ?
Mkuu Yakini
Kama sijakuelewa vibaya nafikiri umemaanisha CVT yaani Continuos Variation Transmission.hii ni aina pya ya m uendelezo wa ATF(Automatic Transmission Flluid) kwa magari mengi ya kisasa hasa ya ulaya na marekani kama Ford etc.zipo za Semi-Synthetic na Fully Synthetic zikiitwa majina kama ATF+4 au DEXRON IV au CP 3 etc
Ningeomba madel ya chombo chako ili nikupe kitu sahihi ila tunazo za aina tofauti
 
Last edited by a moderator:

Gari yangu ni Honda HRV nimekua natumia ATF za kawaida lakini poor performance ndo nikashauriwa hivyo kuwa gari yangu inatumia CVT system but sikuwahi pata correct oil
 
Last edited by a moderator:
Mkuu weka bei yako ili tunavyokuja tuwe tumejipanga

Mkuu Foundation products ni nyingi na zina bei tofauti kulingana na mode of business kama ni jumla au rejareja na pia ni manunuzi ya cash,cheque au mkopo

hapa chini nakuwekea indicatication prices kwa most common products ambazo zinaweza ubadilika kutokana na modes nilizotaja hapo juu

LUBRICANTS GRADELTR/KG PRICEPACKAGEREMARKS
Unisyn 15,000 Fully SyntheticSM 5W 4011,6254 x 4 Ltrs
Zinol Universal ZX 6000 TURBOCF-4/SG15W 40 8,000200 Ltrs
Zinol Universal ZX 6000 TURBOCF-4/SG15W 40 8,00020 Ltrs
Zinol Universal ZX 6000 TURBOCF-4/SG15W 40 8,0006 x 5 Ltrs
Zinol Platinum Super PlusSL/SF 20W 507,500200 Ltrs
Zinol Platinum Super PlusSL/SF 20W 507,50020 Ltrs
Zinol Universal Diesel/Essence HDCE/SD 407,000200 Ltrs
Zinol Universal Diesel/Essence HDCE/SD 407,00020 Ltrs
Zinol Universal Diesel/Essence HDCE/SD 407,0006 x 4 Ltrs
Zinol Universal Diesel/Essence HDCE/SD 407,50012 x 1 Ltrs
Zinol Universal Gear OilGL-5 80W 908,5006 x 4 Ltrs
Zinol Universal Gear OilGL-5 80W 907,50020 Ltrs
Zinol Universal Gear OilGL-5 80W1409,25020 Ltrs
Zinol Universal Two Stroke Oil TC/2T8,00012 x 1 Ltrs
Zinol Universal Hydraulic Oil GRADE 688,50020 Ltrs
Zinol Universal ATFGl-511,50012 x 1 Ltrs
Zinol Universal Lithium GreaseEP 26,555180 kg
Zinol Universal Lithium GreaseWB NLGI-2/314,000½ Kg
Zinol Universal Lithium GreaseMP3 NLGI-2/312,000½ Kg
Zinol Universal Brake FluidHD DOT-34,000250ml
 
Gari yangu ni Honda HRV nimekua natumia ATF za kawaida lakini poor performance ndo nikashauriwa hivyo kuwa gari yangu inatumia CVT system but sikuwahi pata correct oil

Pole sana mkuu..hiyo ni ATF+4 tunayo
Nikurahisishie tu Mpigie Mr Xavier namba O755 290 522 hii product ipo kwenye idara yake atakupatia huduma
 
Jipatie Oil ya SYNTHETIC,Oil ya kisasa kwa magari model za killeo
Oil hii itakupa km 15,000 za Mileage kab la ya kufanya service tena ukilinganisha na oil ziendazo kilomita 3,000
Utaokoa vifuatavyo

  • Manunuzi ya oil mara 4
  • Manunuzi ya Filter mara 4
  • Malipo ya Service ya gari mara 4
  • MUDA wa ku-service gari mara 4
  • Utatumia mafuta vizuri zaidi
  • Gari yako itadumu zaidi huku ikiperform kama inavyotakiwa

Mawasiliano
0754 609090
0655 609090
0784 609090
0773 609090
Sinza Mori Nyuma ya Bigbon Filling Station,Plot 27A

Welcome to Universal Lubricants

Vilainishi bora kwa Magari,Mitambo ya Viwanda na Migodi,Boats,Pikipiki,Mitambo ya ujenzi nk vinavyotengenezwa kwa Teknolojia ya Kijerumani na vilivyopendekezwa duniani kote kwa bei utakayoimudu!

View attachment 125769

Naona you're back to business mkuu.. God is great.
 
Technically hujaelezea hii oil inawezaje kukupa 15,000 km efficiency.
Nasubiri mkuu
Mkuu hekimatele maelezo yapo na ni marefu,lakini kwa kifupi kila oil ina additives(tunaweza kuita vikolezo)mbalimbali vinavyoongeza thamani na ubora wake.hizi additives zinaweza kuongezauwezo wa oil kuhimili joto na kumaintain uzito wake hivyo kudumu zaidi
additives ni 25% tu ya oil volume lakini ni aghali kuliko oil yenyewe lakini huleta tofauti kubwa kwenye matumizi

Pia hizi Synthetic Oil zinatengenezwa maabara kwa kutumia teknolojia ya juu na ni tofauti na Mineral base oil ambazo hupatikana baada ya kuchuja crude oil na kupata petrol,diesel,mafuta ya taa,grese na lami
Ni maendeleo tu ya kisayansi na chemistry
 
Last edited by a moderator:
Hiyo oil naweza kuitumia kwenye corolla automatic? Bei gani?
unaweza mkuu

Oil ya kisasa unaweza kuitumia kwenye gari ya kizamani lakini oil ya kizamani ni hatari kuitumia kwenye gari ya kisasa

bei zipo post #7
 
Mkuu hekimatele maelezo yapo na ni marefu,lakini kwa kifupi kila oil ina additives(tunaweza kuita vikolezo)mbalimbali vinavyoongeza thamani na ubora wake.hizi additives zinaweza kuongezauwezo wa oil kuhimili joto na kumaintain uzito wake hivyo kudumu zaidi
additives ni 25% tu ya oil volume lakini ni aghali kuliko oil yenyewe lakini huleta tofauti kubwa kwenye matumizi

Pia hizi Synthetic Oil zinatengenezwa maabara kwa kutumia teknolojia ya juu na ni tofauti na Mineral base oil ambazo hupatikana baada ya kuchuja crude oil na kupata petrol,diesel,mafuta ya taa,grese na lami
Ni maendeleo tu ya kisayansi na chemistry

Shukrani sana kwa maelezo mafupi yenye ufasaha
 
Back
Top Bottom