unaweza mkuu
Oil ya kisasa unaweza kuitumia kwenye gari ya kizamani lakini oil ya kizamani ni hatari kuitumia kwenye gari ya kisasa
bei zipo post #7
Kwa foleni za Dar es salaam nashauri watu watumie engine running hours badala ya kilometer. Engine inafanya kazi muda mrefu bila gari kutembea.
Na oil filter za kilometer 15,000 unazo au unataka kuharibia watu magari?
umesomeka mkuu...Kwa foleni za Dar es salaam nashauri watu watumie engine running hours badala ya kilometer. Engine inafanya kazi muda mrefu bila gari kutembea.
Unaweza mkuu.filter zipo nyingi mradi iwe genuine
Pole sana mkuu..hiyo ni ATF+4 tunayo
Nikurahisishie tu Mpigie Mr Xavier namba O755 290 522 hii product ipo kwenye idara yake atakupatia huduma
ni sahihi kabisa mkuu.toleo la ATF +4 ndo hasa imetengenezwa kwa continuous vt