Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

Si mafuta tu, hata Luku yangu naona inaniibia aisee, zamani nilikuwa natumia umeme wa 10,000 kwa wiki, lakini ndani ya hizi wiki mbili natumia kwa siku 3 tu ; sijaongeza wala kupunguza chochote kinachotumia umeme....
 
abane pump au aachie yote ni sawa
nenda na kidumu cha lita4 mwambie abane km anavyoiba mafuta ni yale yale
sanasana wanaogopa mashine inaweza kufail na mafuta yakakuzidia
je yaliyozido utalipia?
Hoja hapa ni kwa nini mhudumu ashikilie pump na asiiachie mafuta ya flow yenyewe hadi ikate ??
 
Kabisa mkuu, GBP wakopoa sana ukiweka 20000 utatembea kilometer nyingi tofauti na sheli nyingine.

Marayakwanza sikuamini hadinilivyo rudia tena maana nilishangaa kuona mshale umepanda kwenye point tofauti na ninapoweka sheli nyingine.
Hawana ubabaishaji.
Itategemea na gari mkuu usituaminishe ujinga
 
Wakuu,

Kutokana na vyuma kukaza na havina expansion joints nimekua makini sana kwenye kuweka mafuta kwenye gari.

Nikagundua kituo fulani fulani wanaiba sana, niliowa experience ni Oilcom Magomeni Kagera, Oilcom Ubungo mataa na Morroco pale niliweka mafuta Oilcom Magomeni Kagera kuna mdada anakitumbo kikubwa sana kaniibia kwakua anaibinya pump kupunguza outlet flow.

Hivyo hivyo Ubungo Oilcom na Morroco, sasa kuanzia leo, nilikifika filling station nashuka na ninamwambia aachie pump.

Ushauri wangu pia kwenu mkifika filling stations please hata kama unaweza mafuta ya 4000 shuka na akiset amount ya pesa mwambie aachie pump ijikate yenyewe, kumuacha aishike wanawaibia sana, mi nimepigwa three times.

Blue monday
Na sie tunaoweka ful tank wanatuibiaje mkuu!?
 
10firm1.jpg

Gas Swindlers

Dishonest gas station employees, and even some owners, get up to all kinds of tricks to overcharge or under-deliver on fuel.

These include pumps that have been “doctored” to deliver short-measure and phony readings — sometimes even adding up the cents when the nozzle hasn’t even been inserted in the tank.

In other cases, where gas stations offer a discount for cash, pump attendants may hit the “credit” button so cash-paying victims unknowingly end up paying the credit card rate.

Investigators who monitored this type of dual price pump at a gas station in Long Island saw this scam repeatedly pulled off without a single motorist spotting the trick.

Travelers in Mexico have also reported teams of windshield washers who gather around a vehicle so the owner can’t see the pump reading when it stops short of what they paid for (in Mexico, motorists usually pay a fixed sum in advance before they begin pumping).

Action: Keep a close eye on the pump throughout the refueling and request a receipt (which you should carefully check).

If the fuel and payment meter seems to be operating when the nozzle is not, report it to the gas station clerk and, if necessary, to your state’s department for weights and measures.

In some cases — and you’ll see examples of this on YouTube — motorists have actually made phone videos of meters racking up charges when the car is not refueling — valuable evidence if you make a complaint.
Short Changers

This scam is more common outside the U.S., especially where attendants pump the gas for you.

They’re quick-switch artists who will claim you gave them a lower denomination bill than you really did — and they’ll show you it to prove their claim, having pocketed your real money.

Action: Before paying in cash, hold the bill(s) up and state its value aloud before handing it over.
 
Wakuu,

Kutokana na vyuma kukaza na havina expansion joints nimekua makini sana kwenye kuweka mafuta kwenye gari.

Nikagundua kituo fulani fulani wanaiba sana, niliowa experience ni Oilcom Magomeni Kagera, Oilcom Ubungo mataa na Morroco pale niliweka mafuta Oilcom Magomeni Kagera kuna mdada anakitumbo kikubwa sana kaniibia kwakua anaibinya pump kupunguza outlet flow.

Hivyo hivyo Ubungo Oilcom na Morroco, sasa kuanzia leo, nilikifika filling station nashuka na ninamwambia aachie pump.

Ushauri wangu pia kwenu mkifika filling stations please hata kama unaweza mafuta ya 4000 shuka na akiset amount ya pesa mwambie aachie pump ijikate yenyewe, kumuacha aishike wanawaibia sana, mi nimepigwa three times.

Blue monday
nenda na kidumu ndio mkombozi
 
Tembelea vituo vya VICTORIA SERVICE STATIONS hutojuta

Wale WALOKOLE kweli wanamaanisha

Ila vituo vya OILCOM ni kwamba unaamua mwenyewe kubeba Risk.
Leo dada mmoja hapo alitaka kunifanyia wizi wa kitoto sana, ila nilimgundua na nikamwita, na aliomba msamaha sana. Nimemsamehe.......
 
Wakuu,

Kutokana na vyuma kukaza na havina expansion joints nimekua makini sana kwenye kuweka mafuta kwenye gari.

Nikagundua kituo fulani fulani wanaiba sana, niliowa experience ni Oilcom Magomeni Kagera, Oilcom Ubungo mataa na Morroco pale niliweka mafuta Oilcom Magomeni Kagera kuna mdada anakitumbo kikubwa sana kaniibia kwakua anaibinya pump kupunguza outlet flow.

Hivyo hivyo Ubungo Oilcom na Morroco, sasa kuanzia leo, nilikifika filling station nashuka na ninamwambia aachie pump.

Ushauri wangu pia kwenu mkifika filling stations please hata kama unaweza mafuta ya 4000 shuka na akiset amount ya pesa mwambie aachie pump ijikate yenyewe, kumuacha aishike wanawaibia sana, mi nimepigwa three times.

Blue monday
Oilcom karibia zote walishajiaribia jina, ndio maana hata wateja sio wengi kama petrol station zingine
 
Mkuu, ebu naomba utupe Mechanical tricks ambazo hawa wenye mafuta station hutumia ili kuwaibia wateja.
Kwamfano, wanapo kua wameset amount ya pesa unayo lipia, pale kwenye control panel ina comvart to mafuta liters...
Hapo tayari pump inakua imesha waka kwa kua commanded kwenye control panel, hivyo basi...... pale mhudumu anapo shikilia ile kukuwekea kwenye tank, anaruhusu tu kwakubonyeza/kuruhusu value ifunguke ili mafuta yaanze kutoka.
Kumbuka kwamba hakuna mahusiano kati ya kile anacho bonyeza/ruhusu valve kufungua mafuta yatoke na control panel inayo hesabu fedha yako na ama kiasi cha mafuta inayo kua commanded.
ma nafikiri wezi wa mafuta hucheza na control panelyenyewe, mfano : anaweza set kuwa kwenye decimal points i charge kiwango cha juu, hipo anapiga points balaa
 
Ila Oilcom to be honest....mmmh

Kuna ile sheli iko Mabibo njia panda, kwa waliowahi kwenda pale watakuwa ni mashahidi!
 
Mm naona pale anaposhika pump anaachia mafuta ya 10,000 mfano then yeye anashikilia pump so yanatoka mafuta ya 10,000 anachofanya ni kusuhia pump so kuna mafuta yanabaki kwny ule mpira wa pump ambayo yanasuiliwa kungia kwny gari coz anakuwaa amebana pump so ikiondoka wanaweka kwny vidumu vyao na kuuza ndio maana anakataa kutumia pump iyo iyo kwa kila gari anakwambia nenda pump nyingine kujasa coz kuna mafuta yameshikiliwa kwny mpira wa pump
Mm mtu akishika pump namwambia cha kushika pump acha ijae nyenywe mpaka mwisho
Uja wai ona pump inatolewa kwny gari bado ina mwanga mafuta sasa hapo ndio mfano wa pump kubanwa so mafuta yana naki kwny mpira wa pump
 
Hoja hapa ni kwa nini mhudumu ashikilie pump na asiiachie mafuta ya flow yenyewe hadi ikate ??
Lol, sasa asiposhika pump halafu ikafyatuka na mafuta kumwagika hasara itakua ya nani??

muwe mnajipimia wenyewe basi mbona easy tu, anakusetia unamaliza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom