Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

Mkuu, ebu naomba utupe Mechanical tricks ambazo hawa wenye mafuta station hutumia ili kuwaibia wateja.
Kwamfano, wanapo kua wameset amount ya pesa unayo lipia, pale kwenye control panel ina comvart to mafuta liters...
Hapo tayari pump inakua imesha waka kwa kua commanded kwenye control panel, hivyo basi...... pale mhudumu anapo shikilia ile kukuwekea kwenye tank, anaruhusu tu kwakubonyeza/kuruhusu value ifunguke ili mafuta yaanze kutoka.
Kumbuka kwamba hakuna mahusiano kati ya kile anacho bonyeza/ruhusu valve kufungua mafuta yatoke na control panel inayo hesabu fedha yako na ama kiasi cha mafuta inayo kua commanded.
Hivi mkuu wewe kwanini unatetea wezi bila aibu?
 
Wanapocheza na pump yanapita mafuta na upepo,outlet inapungua lakini display inasoma unachotaka
Wizi wa hivi siufahamu. Ila kuna petrol station moja ipo Keko, gari ilikuwa na mafuta almost lita kumi na tank lake full ni lita 45. Nikamwambia anijazie full nikitaraji haitazidi 37 nikashangaa zimeingia lita 43.

Nilijuta na niliwasha moto wakachukua hela ya lita 35 tuu
 
Wakuu,

Kutokana na vyuma kukaza na havina expansion joints nimekua makini sana kwenye kuweka mafuta kwenye gari.

Nikagundua kituo fulani fulani wanaiba sana, niliowa experience ni Oilcom Magomeni Kagera, Oilcom Ubungo mataa na Morroco pale niliweka mafuta Oilcom Magomeni Kagera kuna mdada anakitumbo kikubwa sana kaniibia kwakua anaibinya pump kupunguza outlet flow.

Hivyo hivyo Ubungo Oilcom na Morroco, sasa kuanzia leo, nilikifika filling station nashuka na ninamwambia aachie pump.

Ushauri wangu pia kwenu mkifika filling stations please hata kama unaweza mafuta ya 4000 shuka na akiset amount ya pesa mwambie aachie pump ijikate yenyewe, kumuacha aishike wanawaibia sana, mi nimepigwa three times.

Blue monday
Awamu hii mtagundua hata mahari mlikuwa mnaibiwa sana...mchumba anapigwa makeups za kutosha unachanganyikiwa!
 
Kwenye kutoa mafuta,NOSEL ya pump ikiminywa hua inaendelea kuandika manamba yale makubwa yanayokuonyesha mteja kuwa lita fulani zimeingia na ela kiasi fulani,huku namba ndogo(meter reading ikiwa imesimama).
Hapo maana yake ni kuwa umepata mafuta kidogo kwa ela nyingi,wakati wa mtoa huduma(pump attendant)kukabidhi hesabu anakuwa na ela nyingi kuliko mauzo,anatoa zinazofanan na meter reading yake,salio mfukoni mwake.
Hesabu zake ni hizi÷
CLOSING METER READING
(minus)_ OPENING METER READING=(equal to) DELIVERY
Mkuu ushawahi kufanya kazi sheli nini, huu ndio ukweli wenyewe, waache hawa wanaobisha bisha bila sababu ya msingi. Kiukweli watu wanaiba... Mie ninaishi mjimwema kuna oilcom hapa kona, aisee ni wezi hatar nikienda kuweka mafuta ni watu wawili tu ndio huwa ni nakubali wanijazie mafuta, laasihivyo ni cheche, wabongo nux kweli jamaa yangu, kila sehem wanatengeneza kanjia kakuiba
 
Unachotakiwa kufanya wewe:

1. Soma scale kablda hajaweza mafuta, must be cleared, isiwe muendelezo labda kaanzia 16.000 ... lazime iwe zero.
2. Angalia ikisoma mpaka kiwango cha fedha/idadi ya mafuta yako ifike.
3. Hakikisha mda wote ule mkonga upo ndani ya talk la mafuta, (HAPA UNAWEZA IBIWA)

Nje ya haya hapa, wanaweza kukuibia very technically kwa pump zao na hapo hakuna unachoweza kufanya, ni kazi ya serikali, ila sheli za kueleweka hawawezi fanya hivyo. Mwinzi mkubwa ni wale wanaouza mafuta, na wanachoweza kufanya ni kati ya hivyo vitu vitatu hapo juu!
Mkuu haya yote hayajazuia kuibiwa,kwakuwa bado anaibana na kuiachia NOSEL.
Anatakiwa aset ela baada ya kuclear akuwekee NOSEL ndani ya tank yako isipokuwa kwa vidumu tu,na AIACHE IJAZE MPAKA IKATE YENYEWE ndipo atoe.
 
Mkuu, ebu naomba utupe Mechanical tricks ambazo hawa wenye mafuta station hutumia ili kuwaibia wateja.
Kwamfano, wanapo kua wameset amount ya pesa unayo lipia, pale kwenye control panel ina comvart to mafuta liters...
Hapo tayari pump inakua imesha waka kwa kua commanded kwenye control panel, hivyo basi...... pale mhudumu anapo shikilia ile kukuwekea kwenye tank, anaruhusu tu kwakubonyeza/kuruhusu value ifunguke ili mafuta yaanze kutoka.
Kumbuka kwamba hakuna mahusiano kati ya kile anacho bonyeza/ruhusu valve kufungua mafuta yatoke na control panel inayo hesabu fedha yako na ama kiasi cha mafuta inayo kua commanded.

Mkuu hapo hamna mechanic tricks kwasababu pump meter huwa inapimwa na watu wa EWURA kabla haijaanza kufanya kazi hio pump
Wanaipima(CALLIBRATION) kisha wanaweka SEAL zao
Ukutwe sasa SEAL imekatika ndio utakiona chamtema kuni
 
Kubana pump hakuwezi iba mafuta, kinachozungusha mahesabu ni floor ya mafuta kutoka, abane asibane kinachosoma ni mechanism ya mafuta, hauna point hapa!

Nimemfananisha mleta mada na wale wazee wa vijijini zamani walikuwa hawataki kabisa redio zao zichomekwe kwenye umeme kwa madai kwamba siku umeme ukikosekana basi redio itanyonya sana betri kwa haraka sana na vilevile ikitokea umeme ukikatika ghafla basi betri za redio yake ndiyo zitalisha line ya Tanesco
 
Wakuu,

Kutokana na vyuma kukaza na havina expansion joints nimekua makini sana kwenye kuweka mafuta kwenye gari.

Nikagundua kituo fulani fulani wanaiba sana, niliowa experience ni Oilcom Magomeni Kagera, Oilcom Ubungo mataa na Morroco pale niliweka mafuta Oilcom Magomeni Kagera kuna mdada anakitumbo kikubwa sana kaniibia kwakua anaibinya pump kupunguza outlet flow.

Hivyo hivyo Ubungo Oilcom na Morroco, sasa kuanzia leo, nilikifika filling station nashuka na ninamwambia aachie pump.

Ushauri wangu pia kwenu mkifika filling stations please hata kama unaweza mafuta ya 4000 shuka na akiset amount ya pesa mwambie aachie pump ijikate yenyewe, kumuacha aishike wanawaibia sana, mi nimepigwa three times.

Blue monday
Labda zamani siku hizi kuna mashine ya EFD kinachotoka kwenye pumpu ndicho mashine kinacho nakili kwenye risiti kama unaibiwa ni ujinga wako pengine huchukui risiti
 
Hill jambo linakuweza kuwa na ukweli ndani nshakutana na watu watano wote wananipa tahadhari ya kuangalia Dada asibinye pump ya mafuta wakati anakujazia mafuta
Waache wanaobisha,mi nimeibiwa kabisaaaa kwa mchezo huo huo,nilishuka ghafla akaachia pump,dah nikajua tayari nimeliwa kiasi kilichoingia tayar
 
Tembelea vituo vya VICTORIA SERVICE STATIONS hutojuta

Wale WALOKOLE kweli wanamaanisha

Ila vituo vya OILCOM ni kwamba unaamua mwenyewe kubeba Risk.
Hao Victoria ndio hawafai kabisa ikiwa haohao walokole ndio wanawawaiba waumini ndani ya makanisa itakua mtaani. Ni mwizi tuui
 
Mkuu haya yote hayajazuia kuibiwa,kwakuwa bado anaibana na kuiachia NOSEL.
Anatakiwa aset ela baada ya kuclear akuwekee NOSEL ndani ya tank yako isipokuwa kwa vidumu tu,na AIACHE IJAZE MPAKA IKATE YENYEWE ndipo atoe.

Utaishi kwa tabu sana ukiwa na mtazamo huu!
 
Wakuu,

Kutokana na vyuma kukaza na havina expansion joints nimekua makini sana kwenye kuweka mafuta kwenye gari.

Nikagundua kituo fulani fulani wanaiba sana, niliowa experience ni Oilcom Magomeni Kagera, Oilcom Ubungo mataa na Morroco pale niliweka mafuta Oilcom Magomeni Kagera kuna mdada anakitumbo kikubwa sana kaniibia kwakua anaibinya pump kupunguza outlet flow.

Hivyo hivyo Ubungo Oilcom na Morroco, sasa kuanzia leo, nilikifika filling station nashuka na ninamwambia aachie pump.

Ushauri wangu pia kwenu mkifika filling stations please hata kama unaweza mafuta ya 4000 shuka na akiset amount ya pesa mwambie aachie pump ijikate yenyewe, kumuacha aishike wanawaibia sana, mi nimepigwa three times.

Blue monday
Lake oil, iliyopo Rombo Morogoro (kwa waendaji wa Iringa, Mbeya, Ruvuma, etc) ni HATARI sana tena sana. Wao ukifikia kuna wanawake wamejipanga. Wakati mwingine anahangaika na pump wengine wanakuja kutaka kukuuzia vitu, wanakuongelesha stori kibao, then kwenye pump wanakupiga.
 
Sawa,mi ndo nimeibiwa,nimekupa tahadhari tu,
unalolisema ni kweli nimefanya kama msimamizi kwenye kampuni ya usafirishaji kwa zaidi ya miaka kumi na kwa miaka mitano nilikuwa nasimamia pump za mafuta kiukweli kalani wa pump unamkuta na kiasi kikubwa cha mafuta kuliko alichotoa ukimuuliza anakwambia temperature inasababisha hivyo ukija mchana unaweza kukuta imesogea kumbe keshatoa mzigo hivyo unakubali kiutu uzima kwakuwa hasara sio yako wala kampuni bali kwa dereva aliyewekewa mafuta ambaye na yeye anapungukiwa mafuta ya kuuza njiani japo pia huwa yanatoka kwa kupitia madereva haohao
 
Mkuu nahisi unajiibia mwenyewe kichwani mwako na wala sio pump za oilcom. Maelezo yako hayaniingii akilini.

May be useme kuwa wewe ni Afisa Masoko wa kampuni flani ya kuuza mafuta na Oilcom anawatimulia vumbi kwahiyo umeamua kumkabili kwa mbinu dhaifu kama hii ulotumia.
Duh! Asante imekaa sawa
 
Wanapocheza na pump yanapita mafuta na upepo,outlet inapungua lakini display inasoma unachotaka
Una ushahidi gani kuwa hoja yako ni sawa? Umejaribu mwenyewe nyumbani au? Kwa walioishi Marekani na Ulaya ambapo mteja ana-pump mwenyewe ataona huna hoja kabisa. "Anabinya" pump? Ni sehemu gani ya pump hiyo "inayobinywa"?
 
Wakuu,

Kutokana na vyuma kukaza na havina expansion joints nimekua makini sana kwenye kuweka mafuta kwenye gari.

Nikagundua kituo fulani fulani wanaiba sana, niliowa experience ni Oilcom Magomeni Kagera, Oilcom Ubungo mataa na Morroco pale niliweka mafuta Oilcom Magomeni Kagera kuna mdada anakitumbo kikubwa sana kaniibia kwakua anaibinya pump kupunguza outlet flow.

Hivyo hivyo Ubungo Oilcom na Morroco, sasa kuanzia leo, nilikifika filling station nashuka na ninamwambia aachie pump.

Ushauri wangu pia kwenu mkifika filling stations please hata kama unaweza mafuta ya 4000 shuka na akiset amount ya pesa mwambie aachie pump ijikate yenyewe, kumuacha aishike wanawaibia sana, mi nimepigwa three times.

Blue monday
Oilcom ni professional thieves. Usiende tena kwenye vituo vya kishenzi hivyo. Nenda Total au Gapco Au hata Victoria wako vizuri sana
 
sheli za oil com wana tabia za wizi oilcom kihonda Morogoro, ukiweka mafuta ukaanza kupiga hesabu za kilometer ulizotembea na mafuta uliyoweka unaona wazi umepigwa inabidi wabadilike.
 
Tembelea vituo vya VICTORIA SERVICE STATIONS hutojuta

Wale WALOKOLE kweli wanamaanisha

Ila vituo vya OILCOM ni kwamba unaamua mwenyewe kubeba Risk.
nyuma kukaza havina cha mkokole ............ ha ha ha
 
abane pump au aachie yote ni sawa
nenda na kidumu cha lita4 mwambie abane km anavyoiba mafuta ni yale yale
sanasana wanaogopa mashine inaweza kufail na mafuta yakakuzidia
je yaliyozido utalipia?
 
Ndio mnaongea utumbo utumbo wenu, wakija kuwafungulia mashtaka useme ukweli mnajificha matokeo kaka wa watu Melo anakamatwa....

Kama unaibiwa si ukawashitaki polisi??
eti kubana pump ndio kuibiwa mafuta, lol
kweli blue monday.
Dili hiloo! kwa OIL COM ngoja waje
 
Back
Top Bottom