Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,857
- 20,028
Unachotafuta utapata
Unakujaga Na Vitu Flani Hivi! Nai Enjoy Sana Kusoma Comments Zako
Kuna pepo anakunyemelea.wanafunzi wa kike.. na chuchu zao saa sita.. uwape wape lifti.. shetani hachelewi kuingia kati ukajikuta segerea
Kuna pepo anakunyemelea.
Hebu tumia FaceApp uone baada ya miaka 30 utatoka ukiwa vipi?
Kuna pepo anakunyemelea.
Hebu tumia FaceApp uone baada ya miaka 30 utatoka ukiwa vipi?
ushaogopa eeh?🤣🤣 kitu cha 30 mchezo?mimi nakaa nao mbali.. namshauri huyo mtoa toa lift kwa mabinti wa shule
unaleta utani na nyara za serikali,,,,,,