Wenye magari binafsi watoe lift kwa watoto wa shule vituoni ili mbarikiwe

wanafunzi wa kike.. na chuchu zao saa sita.. uwape wape lifti.. shetani hachelewi kuingia kati ukajikuta segerea
 
Ukibeba wanafunzi ni sawa na tanker la mafuta limeanguka, akitokezea mmoja akitekenya tu moto utakaotokea hutosahau maisha yako na utasimulia kwa wafungwa wenzako muda huo uko Keko au Segerea
Wengine sio kama hatupendi kuwabeba, tatizo sheria.
 
Upo sahihi mkuu ila kwa dunia ya sasa hilo jambo ni hatari maana watu roho za ubinadamu haipo tena cha msingi kila mtu awe responsible kwa watoto wake
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom