Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Mi hakuna ki2 naogopa kma kumpa lift mtoto wa wat tena hasa wa kike.
tatizo sheria za hii nchi ni za kijinga sana,nashangaa wapuuzi flani wanatoka mapovu eti uhuru wa habari,wakati kuna sheria za kijinga jinga zinabana watu wasitoe misaada kwa jamii ya watu kama wanafunzi.
ni vizuri sana mkuu unafanya mbele ya muumba wako,ila ikatokea umepata nao ajali wakaumia au kupoteza maisha,utajutia wema wako.hakuna rangi utaacha kuona.
swali utaulizwa je gari yako imefaulu vigezo vya kubeba wanafunzi!!!!sasa jiulize kati ya alphard yako au noah na dcm la gomz lipi lina kiwango cha kubeba wanafunzi.
Wabakaji watarahisishiwa kazi. Marufuku ndio salamaKuna mtu ana gari moja miaka nane kumi hilo moja hajui kwann ajabarikiwa lingine
Kuna baraka mnazikosa wenyewe m.Huwa nikipita hata kama.Naenda mwenge nabeba watoto pale tankibovu unakuta nusu nzima wanashukià lugàlo
Nn wale waliobakia wanashuka mwenge wanakushukuru mpaka husikii hamuya chai huwa nabarikiwa sana
Kupitia baraka zao mungu amenipa gari lingine nakua wiki ijayo wataenjoy pià
Maombi yangu wale wenye magari binafsi kuna watoto mnakuta wako kituon ama wengine wanatembea kwenda kituoni simama uliza wanaenda wapi...
Hatakama uendi wanapoenda kuwafikisha tu kituoni hioo n baraka mpendwa
Ombi langu kwa mungu magari yetu tuyatumie kwa upendo na baraka tukiwa duniani mbinguni hakuna magari kule....Kule.Kwingine ndio moto mtupu
Saidia watoto wa shule wawahi shule imagine wako anafika satatu shule.Imeanza sambili unajisikiaje hatakama wakwàko wako bdng kumbuka ipo siku hutokuwepo gari azitakuwepo
Oonyesha upenda tuwabebe watoto wetu vituoni wawahi shule wewe baba wewe mama.Mkaka mdada unatengeneza baraka za watoto wako
Kupitia barakahizi mungu akufanikishe kila jambo unalomlilia na kuliitaji likawe baraka na màfanikio
Amen
Kuna mtu ana gari moja miaka nane kumi hilo moja hajui kwann ajabarikiwa lingine

Kwa aina hii ya uandishi siwezi panda lift ya gari yako hata kama umenikuta mikumi peke yangu natembea kwa miguu. Hao unaowapa lift ni kwa vile hawajaona unachoandika wasingekubali.
Oonyesha upenda tuwabebe watoto wetu vituoni wawahi shule wewe baba wewe mama.Mkaka mdada unatengeneza baraka za watoto wako
Kupitia barakahizi mungu akufanikishe kila jambo unalomlilia na kuliitaji likawe baraka na màfanikio
Amen
Baadhi watakuona extremist lkn hayo uliyosema ni bora sana kwa usalama wa mtoto wakoHakuna wazo bovu, ovu na la kijinga kama hili.
Mtoto kupewa lifti ni kuhatarisha usalama wake kwa asilimia zote. Hili ni la kupigwa marufuku kabisa tena.
Haifai kabisa kumpa mtoto wa mtu lifti, hata iwe wa jirani au mtu unaemfahamu.
Siyo lifti tu, haifai kumpa mtoto sadaka yoyote njiani. Iwe pesa, pipi au biskuti au chakula.
Pia haifai hata kumsemesha mtoto asiye wako njiani au mtoto wa jirani kujidai unambeba unamkumbatia unamtania. Ni ushenzi wa hali ya juu.
Tena kila mwenye mtoto nnamuasa achunge sana mambo hayo. Binafsi sikubali rru ympe lifti mtoto au eti uje kwangu ujifanye unamzungumzisha mtoto, umbebe sijui umpakate. Utaiona nyumba chungu.
Asalaam Alaikum, Alaikum salaam yamekwisha. Sijui unasoma wapi, unanini unanini. Nakupiga stop. Kwanza wajukuu zangu watakupa kavu "hiyo siyo kazi yako". Wapo under strict rules, hakuna cha mjomba wala shangazi, hawaruhusiwi kabisa. kama nilivyowalea wazazi wao.
Mfano mzuri sana. Wema wa aina hii unaweza kukuponza ukajuta maisha yako yote.Ni jambo jema lakini omba yasikukute. Unaweza ukawa una nia njema ya kutoa msaada lakini yakakukuta makubwa mpaka ukajuta. Kuna jamaa ameapa kutompandisha mtoto wa shule katika maisha yake.
Kuna siku alitoa lift kwa watoto wa shule kwa bahati mbaya mmoja hakushuka na wenzie alikwenda kushukia kituo cha mbele yake na kumbe hakufika hata shuleni siku hiyo, alikatiza mitaa kwenda kusikojulikana, jamaa akabambikiwa kesi ya kumteka dogo akapigwa lockup kumbe maskini ya Mungu yeye alimshusha hata hakuwa na time naye.........mpaka anakuja kuthibitika hana kosa ashateseka sana, kumbe dogo ni toro tu la shule