Wenye magari binafsi acheni tabia ya kufanya manunuzi mkiwa kwenye magari yenu

Jembemtaji

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
1,193
926
Yatupasa kujua matumizi sahihi ya vyombo vyetu vya usafiri hasa magari haya binafsi .

Kuna tabia ya mtu yuko kwenye gari anakwenda kwenye meza ya maembe au matikiti anataka kila kitu apewe akiwa kwenye gari, bila kuangalia ufinyu wa barabara au gari zilizo nyuma yake pamoja na watumuaji wengine wa barabara.

Unapotaka kufanya shopping ni vema ukatafuta parking ukanunua vitu ukachukua gari ukaondoka.

Unakuta mtu anasababisha foleni kubwa ukichunguza unakuta jitu limesimama anakula pande la tikiti bila hata aibu akijua amezuia wengine kupita.

Kumbuka uvivu utakusababishia magonjwa yasioambukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana usiku huu mpaka Mama na watoto wameamka
hiyo ni DSM tu

huku Dodoma matikiti shambani mengi maembe usiseme huna haja ya kuzuia foleni ili wakukatie kipande
karibuni Dodoma Mahindi ya kuchoma matikiti, maembe, furu nk vipo
 
Wanakera hawa jamaa ,ukiwaangalia usoni ni watu wa heshima lakini waroho hatari utashangaa amepataje prado anashindwa kununua tikiti akale na watoto nyumbani.
Nimecheka sana usiku huu mpaka Mama na watoto wameamka
hiyo ni DSM tu
huku Dodoma matikiti shambani mengi maembe usiseme huna haja ya kuzuia foleni ili wakukatie kipande
karibuni Dodoma Mahindi ya kuchoma matikiti, maembe, furu nk vipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia kuna round about hapo Dom katikati imepandwa matembele na michicha mkuu?
nacheka hadi mifugo itaamka
vipleft vyetu ni green sio km kile cha Msimbazi / Uhuru walichobomoa ilikuwa misanamu
hapa mchicha unatupiwa tu hamna haja ya kusimamisha mafoleni kona ingien Mananasi , machungwa unamalizia cha airport Mahindi ya kuchoma
 
Hahah duuh hio kweli ni Dodoma ya Kijani mkuu.
 
Nimecheka sana usiku huu mpaka Mama na watoto wameamka
hiyo ni DSM tu

huku Dodoma matikiti shambani mengi maembe usiseme huna haja ya kuzuia foleni ili wakukatie kipande
karibuni Dodoma Mahindi ya kuchoma matikiti, maembe, furu nk vipo
nchi kame sana hiyo, unawakaribisha watu jehanam aiseee,dom siipendi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi kame sana hiyo, unawakaribisha watu jehanam aiseee,dom siipendi sana
Pole ndio Tanzania yetu, ukitaka kwenda Ushirombo toka Pwani short cut ni Dodoma
Mkataa kwao ..........................
kuna watu mpaka leo wanavaa fulana za USA kuongea slang za kiNigga kusifia Trump wanaacha kusifia kisamvu na ugali wa uwele
 
Kuna wale wanaoendesha gari spidi huku hatua 10 mbele kuna bumps, sasa unajiuliza huyu anafukuzana ili awahi kuruka bumps au vepe?
 
Yatupasa kujua matumizi sahihi ya vyombo vyetu vya usafiri hasa magari haya binafsi .

Kuna tabia ya mtu yuko kwenye gari anakwenda kwenye meza ya maembe au matikiti anataka kila kitu apewe akiwa kwenye gari, bila kuangalia ufinyu wa barabara au gari zilizo nyuma yake pamoja na watumuaji wengine wa barabara.

Unapotaka kufanya shopping ni vema ukatafuta parking ukanunua vitu ukachukua gari ukaondoka.

Unakuta mtu anasababisha foleni kubwa ukichunguza unakuta jitu limesimama anakula pande la tikiti bila hata aibu akijua amezuia wengine kupita.

Kumbuka uvivu utakusababishia magonjwa yasioambukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huna gari ndo maana.
 
nchi kame sana hiyo, unawakaribisha watu jehanam aiseee,dom siipendi sana
nawe #Ushirombo utajidai upo Pwani kwa ajili ya minazi na mbavu za mbwa eti nipo Darrrr
IMG-20191218-WA0000.jpg

au unataka kuniambia Dodoma kuna Mafuriko km hayo ya kwenu Dar???
achana na DSM ya Makonda foleni hata kuchoma hindi karibu Dodoma
 
Back
Top Bottom