Wenye maduka ya hardware.....Wote wekeni contact zenu hapa tufanye biashara !!!

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Habari zenu wakuu.
1. Nilikua nataka nipate list ya wafanya biashara wote wa hardware...

Ninahitaji

1. Jina la biashara zao na managers/wamiliki wake.
2. Namba zao za simu
3. Geographical position (mahala walipo)

Nataka niwasiliane nao tufanye biashara nzuri yenye faida.....nita wasiliana nao kwa simu !!!

2. Kwa wanaohitaji PVA roofing paints 20 litres (Rangi PVA za kupaka kwenye mabati za litre 20) kwa bei nafuu sana.....tuwasiliane utauziwa rangi kwa bei nafuu na kwa idadi yoyote unayotaka wewe.

Tuwasiliane hata kwa message:
0774-000655

Thanks !!
 
Unabidhaa za hardware unataka kuwauzia au kununua? Funguka!!!!!!!!!
 
Unabidhaa za hardware unataka kuwauzia au kununua? Funguka!!!!!!!!!

Nataka kuwauzia pva roofing paints kwa bei poa sana.....na pia kama kuna watu (wateja) wanataka kununua kwangu kwa bei rahisi wote wanakaribishwa !!! Biashara ni nzuri kabisa na Receipts kila kitu wanapewa !!
 
Vipi kuhusu mabati ungeuza na mabati kabisa ili tukishapaua tu tunapakahizo rangi
 
Habari zenu wakuu.
1. Nilikua nataka nipate list ya wafanya biashara wote wa hardware...

Ninahitaji

1. Jina la biashara zao na managers/wamiliki wake.
2. Namba zao za simu
3. Geographical position (mahala walipo)

Nataka niwasiliane nao tufanye biashara nzuri yenye faida.....nita wasiliana nao kwa simu !!!

2. Kwa wanaohitaji PVA roofing paints 20 litres (Rangi PVA za kupaka kwenye mabati za litre 20) kwa bei nafuu sana.....tuwasiliane utauziwa rangi kwa bei nafuu na kwa idadi yoyote unayotaka wewe.

Tuwasiliane hata kwa message:
0774-000655

Thanks !!

bei gani? na kwa walio
 
Attachments

  • DSC_0000622.jpg
    DSC_0000622.jpg
    31 KB · Views: 67
Vipi kuhusu mabati ungeuza na mabati kabisa ili tukishapaua tu tunapakahizo rangi

Mkuu issue ya mabati kwa sasa bado tunaifuatilia....bado haijaiva kisawa sawa.....ikiwa tayari ntawajulisha wadau.....issue ya rangi ndio ipo tayari.....Na kwa ndoo ya litre 20 mimi nauza kwa tsh. 100,000/= maduka mengine inauzwa tsh. 120,000 mpaka tsh. 130,000. Receipts kila kitu unapewa !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom