Wenye kuzielewa simu tafadhali! hil limezidi mno msaada tafadhalini

PSG Pambanaji

JF-Expert Member
Jan 4, 2020
222
146
Mpaka nimegombana na watu kisa sijibu sms kumbe hazinifikii nikitumiwa,ndo tatizo kubwa la hii simu sa nashindwa cha kufanya wengine wanasema restart, nayo haijanisaidia nikabadili hata laini .Sasa naomba ushari wenu kipi bora na suluhisho ili nipate sms nitumiwapo,mi nikituma mtu zinamfikia na akianza kujib zina fika ila tukikaa mda kidogo tu inabidi mi ndo nianze vinginevyo mtu akianza yeye hazifiki .Natanguliza shukrani kwa wakuu wote humu
 
Naweza kukosa mchumba akijua simtaki kumbe simu ndo hainitaki,nikiwaza kuuza sitaki kutapeli kwasababu ina tatizo nataka nitatue
 
io itakua itel we 2lia nayo ucwashe data ndo itatulia cku ukiwasha data jua huchat cku nzima najua ata majna kusoma apo no tatzo
 
Sa mkuu ni kuacha tu? Mwanzoni mi nilijua itatatuliwa na fundi chakushangaza kila fundi anakwepa eti hawezi
 
Mpaka nimegombana na watu kisa sijibu sms kumbe hazinifikii nikitumiwa,ndo tatizo kubwa la hii simu sa nashindwa cha kufanya wengine wanasema restart, nayo haijanisaidia nikabadili hata laini .Sasa naomba ushari wenu kipi bora na suluhisho ili nipate sms nitumiwapo,mi nikituma mtu zinamfikia na akianza kujib zina fika ila tukikaa mda kidogo tu inabidi mi ndo nianze vinginevyo mtu akianza yeye hazifiki .Natanguliza shukrani kwa wakuu wote humu
shida zaweza kuwa nyingi lakini lei nilikutana na tecno yesnye shida kama yako tatizo lilikuwa storage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yangu storage inatosha, isitoshe hili nimeliona toka likiwa jipya sijawahi kuifurahia sa naanza kufikiria huenda ni aina tu ya simu ndo mbovu na design yake
 
mkuu jaribu kujikaba japo hela imekuwa ngum jitahid u upgrade kama ni tekno anzia phantom 6 au c9 kwenda juu ila ukitaka solution ya kudum Fanya kuamia Samsung, iPhone au xiaomi
 
Hujataja aina ya simu.. Ila kama ni smartphone jitahidi kufuta sms zisizo na maana kama za mitadao ya cm au promoshen au zile za kubeti na zile zilizokaa muda mrefu pia angalia storage ya simu isiwe imejaa angalau isome 90%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
io itakua itel we 2lia nayo ucwashe data ndo itatulia cku ukiwasha data jua huchat cku nzima najua ata majna kusoma apo no tatzo
mkuu majina ya wenye post humu au phonebook ?nahc huenda hili likanisaidia kupata ufumbuzi kweli inazingua hata inaweza anza kustack hovyo
 
Mkuu simu ni smart kuhusu kufuta sms nimeshajaribu hadi kurestart haijasaidia hadi mara2 na storage bado sana hata baada ya kurestart bado shida ipo na kubadili labda setings
Hujataja aina ya simu.. Ila kama ni smartphone jitahidi kufuta sms zisizo na maana kama za mitadao ya cm au promoshen au zile za kubeti na zile zilizokaa muda mrefu pia angalia storage ya simu isiwe imejaa angalau isome 90%
 
Je setting yako ya msg center namba iko sawa?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Back
Top Bottom