Wenye kujua tigo bima

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,542
7,450
Habari zenu wadau hapa, nimepokea simu kama mara 2 kwa namba ya tigo ni mwanamke ananielezea mambo ya tigo bima,
Natakiwa nichangie elfu 10 kwa mwaka, na maelezo yake nitalipwa mil 3 kwa janga litalonikuta ikiwa jumla ya mimi, mke na watoto,
Si jambo baya, nachotaka kujuzwa hapa hii huduma je tigo wanayo au aina fulani ya utapeli tu?
 
Back
Top Bottom