Wenye hii tabia Msimu huu wa sikukuu Waiache Kabisa.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Kuna mtindo ambao utaanza kujitokeza siku hizi za sikuku kwenye magroup ya watsup, instagram, FB na hata humu wakutuma chakula mlichopika hapo home kwenu siku ya sikukuu. Tafadhari msifanye hivyo kwa wengine chrismas imetukuta ovyo .

Hela haionekani kama kaburi la Faru John.‍♀
 
Hapo kwenye Faru John ndo balaa linapozaliwa!
 
Back
Top Bottom