Wenye hereni masikioni ni mabwabwa??????

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Kutokana na utaratibu wa kule kwenye makambi ya jesh marekani,wale jamaa wanaotoa tigo wana utambulisho wao na utambulisho huo ni hereni masikioni,je kama na wewe unaweka hereni masikioni unatangaza wanachofanya hao wa marekani??
 
In some cultures men do wear earrings, so we cannot judge or generalize. It is the what a person does that matters the most. Judge not, and thou shalt not be judged
 
Ni kweli si vizuri kujumlisha ila mambo mengine hayafai kuigwa hata kidogo.
 
sikio gani tena kama ni la kushoto ndio kama la kulia hapana......
na kama ni masikio yote:doh::doh:

na si vizuri ku copy kitu ambacho hujui maana yake...
 
In some cultures men do wear earrings, so we cannot judge or generalize. It is the what a person does that matters the most. Judge not, and thou shalt not be judged

Ni kweli unachosema na ninakubaliana nawe. Mfano kuna nchi moja inaitwa Vanuatu wanaume huvaa skirt. Sasa sijui tutawaita mabwabwa? lakini ukweli ni kuwa hiyo ndo culture yao.
Swali la kujiuliza je taulo ikifungwa kichwani itaendelea kuitwa taulo au tutaiita kilemba? Tafakari kisha chukua hatua.
 
si kweli si wote mashoga cz kuna mashoga wapo smat tu hawana kiheren wala nini
wanavaa kijentroman na hawana swaga za kishoga in shot huwez kuwatambua bt stl ndo ivo MABWABWA
si vyema kuiga iga tu........mi nikiona mkaka kavaa kieren ata machen meng shingon automatically namtupia kwenye dust bin
 
Papaaa musofe, papaaa muzamili wapi akudo napesa nangai nakolobate nakati ya kongo na biso na biso faranga mingi kufasi ya kinondoni
 
Kutokana na utaratibu wa kule kwenye makambi ya jesh marekani,wale jamaa wanaotoa tigo wana utambulisho wao na utambulisho huo ni hereni masikioni,je kama na wewe unaweka hereni masikioni unatangaza wanachofanya hao wa marekani??

hebu fafanua vizuri, unaana hata rose, maria, preta, smatta na "she" wote wa jf ni bwabwa?!
 
Hii inaambatana na ya kuvaa cheni mguuni kwa wadada kuwa hapo tiqo bwerere ama?
 
kutokana na utaratibu wa kule kwenye makambi ya jesh marekani,wale jamaa wanaotoa tigo wana utambulisho wao na utambulisho huo ni hereni masikioni,je kama na wewe unaweka hereni masikioni unatangaza wanachofanya hao wa marekani??

mabwawa ndio
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom