Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,613
Typical nonsense hapo kwenye bold. Tangu lini nguo zikamuongeza mtu akili? Engineers wengi na wanasayansi hususan wavumbuzi si watu wenye kujali sana muonekano wao.
Huyu ni George Bush alipokuja Tanzania. Kama ungealikwa usingethubutu kukunja mikono ya shati, ungetaka uonekane kwa mavazi. Be yourself brother!
Hata ukiwa msanii haimaanishi saa zote unalipuka ili uonekane ndio una akili. Akili haziletwi na nguo. Ndio maana tuna ugomvi wa MAJOHO ya kuhitimu chuo. Hata uvishe Joho la Hariri, mjinga ni mjinga tu.
Jifunze kusoma na kuelewa mkuu, usipende kukurupuka. Sijasema mavazi humuongezea mtu akili. Mtu yeyote timamu kichwani, anajua kupangilia mavazi kulingana na mazingira na aina ya watu atakaojihusisha nao. Ndiyo maana hao "wanasayansi na engineers" huwakuti wakivaa Air Jordans, milegezo, au kuvaa cheni wawapo makazini.
Hiyo case ya George Bush kukunja mikono ya shati, dude! That's the biggest man in the world at the moment. He didn't have to impress anyone(on that occasion), but everybody needed to impress him. Mwajiri wako anavaa anavyojisikia, ila wewe unavaa kumpendeza. Common sense boss, if you can afford.
Paris Hilton...seriously?? SMFH! How many times has she flashed the world, or blessed it with her cleavage? How many times has she been caught going commando in public? You take tips from a know drug abuse socialite? That figures.
Muonekano wako huakisi kwa kiasi kikubwa uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo. Muonekano ndio unatoa taswira yako mbele ya hadhira.