Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,045
- 15,377
Mzee mm ni mmoja wapo. Mm nna Bachelor degree lakini nimeajiriwà kwa cheti cha Vétà nakula maisha tuu na hapa nawaza kusoma Masters Open University maana nna pesa sijui hata nizifanyié nnVeta sijui kwanini watu wanaidharau.
Veta ni taasisi pekee ambayo asilimia 90 ya wahitimu wamejiajiri au kuajiriwa (Huu ni utafiti wangu binafsi)