Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,896
- 4,495
Hata kama kuna muujiza wa kuongeza majengo na lab facility, lakini issue kubwa itakuwa staffing levels (walimu, technicians na field offier) na juu ya hilo weka usafiri wa kupeleka vijana field. Nisicho elewa onezeko kubwa hili linaongozwa na sera gani? Ukizalisha wote hawa unawapeleka wapi.
Siri ya Mwal. Nyerere University of Agriculture and Technology nafikiri anayo Ndalichako na bosi wake wengine tunashangaa tu yanayo endelea-utakuaje na chu karibia miaka 4 hakuna udahili on the ground. Chuo kile kiki kick-off kitaimsha SUA kwa kiasi fulani, lakini pia kitafika na kusaidia kilimo sehemu SUA haiwezi kufika. Kwa nchi ya kilimo SUA pekeyake haitoshi tunahitaji uwekezaji mkubwa zaidi.
Tuombeane uzima ili tuyashuhudie mengi