Wenye diploma GPA chini ya 3.0 hawaruhusiwi tena kusoma degree kama zamani


Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
4,607
Likes
3,799
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
4,607 3,799 280
Veta sijui kwanini watu wanaidharau.


Veta ni taasisi pekee ambayo asilimia 90 ya wahitimu wamejiajiri au kuajiriwa (Huu ni utafiti wangu binafsi)
Mzee mm ni mmoja wapo. Mm nna Bachelor degree lakini nimeajiriwà kwa cheti cha Vétà nakula maisha tuu na hapa nawaza kusoma Masters Open University maana nna pesa sijui hata nizifanyié nn
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
4,607
Likes
3,799
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
4,607 3,799 280
Kuna kitu kinaitwa RPL, kinaratibiwa na TCU wao wenyewe, unafanyiwa mafunzo fulani na chuo husika yanayohusu kozi unayotaka kusoma kwa muda, kisha TCU wanakupa mtihani kupitia kile chuo, ukifaulu huo mtihani kwa viwango walivyoviweka basi unadahiliwa kuisoma hiyo kozi. Hebu jaribu kufuatilia kwenye website ya TCU kuhusu hiyo RPL utapata mwanga zaidi. (Maelezo yangu yanaweza yasiwe sahihi kwa 100% ila amini niko "relevant" katika hili).
Is no longer applicable
 
C

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Messages
545
Likes
449
Points
80
C

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2015
545 449 80
Mm ni Bachelor degree holder. Ila nimeajiriwa kwa chet cha VETA nakula maisha Vibàya mnoooooo hadi degree yangu nilio isotea siikumbuki tena. I recommend this
mkuu fani ulisoma hapo veta na taasis gani upo kama hutamind
 
M

Mechanical Engineer

Member
Joined
May 18, 2018
Messages
82
Likes
39
Points
25
M

Mechanical Engineer

Member
Joined May 18, 2018
82 39 25
Watu wengi huamini wanaosona veta ni wale waliofeli. Lakini ukweli ni kwamba ni taasisi ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa. Kiwanda kimoja kinaweza kuwa na electrical engineer mmoja lakini FTC zaidi ya mmoja.
Kwani VETA hutoa FTC? Nadhani hapa umechanganya
 
Escrowseal1

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Messages
1,281
Likes
464
Points
180
Escrowseal1

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2014
1,281 464 180
Veta sijui kwanini watu wanaidharau.


Veta ni taasisi pekee ambayo asilimia 90 ya wahitimu wamejiajiri au kuajiriwa (Huu ni utafiti wangu binafsi)
Ni uelewa mdogo sana wa wanasiasa wa nchi za africa. Vocational trainees nchi zilizoendelea zinazotegemea viwanda ndo wanaoendesha uchumi , sina uhakika kwa nini africa wanadhani ma PHD holders ndop watu wa maana kwa uchumi
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,150
Likes
15,518
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,150 15,518 280
Watu wengi huamini wanaosona veta ni wale waliofeli. Lakini ukweli ni kwamba ni taasisi ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa. Kiwanda kimoja kinaweza kuwa na electrical engineer mmoja lakini FTC zaidi ya mmoja.
Kilicho muhimu ni cheti cha form four!
Veta ni takataka tu!
 

Forum statistics

Threads 1,249,928
Members 481,162
Posts 29,715,012