Wenye diploma GPA chini ya 3.0 hawaruhusiwi tena kusoma degree kama zamani


ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,334
Likes
1,006
Points
280
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,334 1,006 280
Hata kama kuna muujiza wa kuongeza majengo na lab facility, lakini issue kubwa itakuwa staffing levels (walimu, technicians na field offier) na juu ya hilo weka usafiri wa kupeleka vijana field. Nisicho elewa onezeko kubwa hili linaongozwa na sera gani? Ukizalisha wote hawa unawapeleka wapi.

Siri ya Mwal. Nyerere University of Agriculture and Technology nafikiri anayo Ndalichako na bosi wake wengine tunashangaa tu yanayo endelea-utakuaje na chu karibia miaka 4 hakuna udahili on the ground. Chuo kile kiki kick-off kitaimsha SUA kwa kiasi fulani, lakini pia kitafika na kusaidia kilimo sehemu SUA haiwezi kufika. Kwa nchi ya kilimo SUA pekeyake haitoshi tunahitaji uwekezaji mkubwa zaidi.
Tuombeane uzima ili tuyashuhudie mengi
 
Public Enemy

Public Enemy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
2,123
Likes
573
Points
280
Public Enemy

Public Enemy

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
2,123 573 280
Hio ya GPA kuanzia ya 3 ni kuanzia mwaka jana imekua applied. Kuhusu afanyeje ajaribu kuulizia CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA nasikia wana Foundation Program ya mwaka mmoja kisha ataendelea na digrii.
 
Phoenix

Phoenix

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Messages
8,751
Likes
8,681
Points
280
Phoenix

Phoenix

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2012
8,751 8,681 280
Veta sijui kwanini watu wanaidharau.


Veta ni taasisi pekee ambayo asilimia 90 ya wahitimu wamejiajiri au kuajiriwa (Huu ni utafiti wangu binafsi)
Kweli mkuu.
 
MSILOMBO

MSILOMBO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2015
Messages
471
Likes
298
Points
80
Age
28
MSILOMBO

MSILOMBO

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2015
471 298 80
Kuna kitu kinaitwa RPL, kinaratibiwa na TCU wao wenyewe, unafanyiwa mafunzo fulani na chuo husika yanayohusu kozi unayotaka kusoma kwa muda, kisha TCU wanakupa mtihani kupitia kile chuo, ukifaulu huo mtihani kwa viwango walivyoviweka basi unadahiliwa kuisoma hiyo kozi. Hebu jaribu kufuatilia kwenye website ya TCU kuhusu hiyo RPL utapata mwanga zaidi. (Maelezo yangu yanaweza yasiwe sahihi kwa 100% ila amini niko "relevant" katika hili).
Imesimamishwa kwa muda.
 
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Messages
2,044
Likes
1,372
Points
280
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2015
2,044 1,372 280
Mwambie akasome FOUNDATION COURSE(OPEN UNIVERTY) Mwaka mmoja wa pili anasoma degree chuo chochote kile kupitia hiko cheti....

Nb,,,,,Hyo program imefunguliwa na uache ubishi.
Na uzi wake upo hapa hapa jf juzi tu uliwekwa
 
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
20,756
Likes
21,414
Points
280
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
20,756 21,414 280
Veta sijui kwanini watu wanaidharau.


Veta ni taasisi pekee ambayo asilimia 90 ya wahitimu wamejiajiri au kuajiriwa (Huu ni utafiti wangu binafsi)
Kaka utafungwa! COSTECH hawana masihara
 
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
20,756
Likes
21,414
Points
280
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
20,756 21,414 280
Mwambie akasome FOUNDATION COURSE(OPEN UNIVERTY) Mwaka mmoja wa pili anasoma degree chuo chochote kile kupitia hiko cheti....

Nb,,,,,Hyo program imefunguliwa na uache ubishi.
Foundation course ya OUT ni kwa ajili ya kusoma degree pale pale OUT!
 
B

bloggerboy

Member
Joined
Nov 13, 2017
Messages
70
Likes
142
Points
40
B

bloggerboy

Member
Joined Nov 13, 2017
70 142 40
Swali dogo nje ya mada, mkuu unalizungumziaje ongezeko la udahili kwa chuo kikuu cha Sokoine hasa kwa kozi Veterinary Medicine, kwa mujibu wa admission guidebook ya TCU inaonyesha kwamba mwaka huu watadahili wanafunzi 350, vipi kuna miundombinu kweli toshelezi ?

Najua kwa namna moja au nyingine wewe ni mdau
Acha uongo admission capacity ya vet sio hiyo
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,145
Likes
3,519
Points
280
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,145 3,519 280
Foundation course ya OUT ni kwa ajili ya kusoma degree pale pale OUT!
Wenyewe WANADAI ukifaulu vyuo vingine unakuwa na vigezo. Hii sijajua in practice mambo yakoje au yatakuaje kwani huku kwetu twaweza kusema megine na kutenda vingine kabisa.
 
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,334
Likes
1,006
Points
280
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,334 1,006 280
Acha uongo admission capacity ya vet sio hiyo
Kwanza asante kwa tuhuma, pili naomba ufanye mambo yafuatayo kama hautojali.

1. Tembelea www.tcu.go.tz kuna kitu utakikuta kinaitwa ''Admission guidebook for form six applicants 2018/2019" (ni nyaraka yenye kurasa 177).

2. Tafuta chuo cha sokoine (SUA), kisha nenda kozi namba 21 (Bachelor of Veterinary Medicine), angalia sehemu ya admission capacity, (kuna idadi utaikuta hapo).

3. Karibu sana kuniomba radhi kwa kuniita muongo.

I will be waiting.
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,145
Likes
3,519
Points
280
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,145 3,519 280
Acha uongo admission capacity ya vet sio hiyo
Kabla ya kumtuhumu mtu ni vizuri ujiridhishe na kile usemacho. Admission Guide book inaonyesha hizo takwimu alizotoa ndio walewale kuwa ni sawa. Na takwimu hizo hutokea vyuoni sasa labda utuambia SUA au TCU wamekosea, lakini si mchangiaji.
 
C

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Messages
545
Likes
449
Points
80
C

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2015
545 449 80
Watu wengi huamini wanaosona veta ni wale waliofeli. Lakini ukweli ni kwamba ni taasisi ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa. Kiwanda kimoja kinaweza kuwa na electrical engineer mmoja lakini FTC zaidi ya mmoja.
ftc ni ya veta au technical coleje enz hizo?
 
Adolfms

Adolfms

Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
31
Likes
11
Points
15
Adolfms

Adolfms

Member
Joined Nov 28, 2017
31 11 15
Vipi kwa wale wa diploma Ambao hizo GPA Ni Below 3. Then wakasoma nche Kama Kampala university. So mwisho Wa siku watakubaliwa kutambulika wakileta hizo Bachelor zao? Msaada please
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
4,607
Likes
3,799
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
4,607 3,799 280
Nawashauri waende veta wajipatie ujuzi wowote itawasaidia mbeleni
Mm ni Bachelor degree holder. Ila nimeajiriwa kwa chet cha VETA nakula maisha Vibàya mnoooooo hadi degree yangu nilio isotea siikumbuki tena. I recommend this
 

Forum statistics

Threads 1,249,902
Members 481,140
Posts 29,714,383