ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,235
- 2,123
unaweza ukajipima mwenyewe kama mimba.....Kuna App yake unaweza ukaipakua toka kwenye Playstore.....CeliAppNafikir ni elfu 3-5 ....haivuki elfu 5 mkuu
unaweza ukajipima mwenyewe kama mimba.....Kuna App yake unaweza ukaipakua toka kwenye Playstore.....CeliAppNafikir ni elfu 3-5 ....haivuki elfu 5 mkuu
Nilifikiri nasumbuka mwenyewe aiseeLeo ndo nimejua hii kitu, mimi ni group 0-, acid huwa inanisumbua sana, ila kwenye mbu sasa, mbu wanatushambulia balaa, unaweza kaa na mtu mwingine sehemu yenye mbu na wala hata asijitikise ila wewe sasa, mbu wanakushambulia balaa.
Unaweza kujidanganya ,halafu ukashuudia unakosa hewa sasa hivi.Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.
aàah hapana mkuu .....unaweza ukajipima mwenyewe kama mimba.....Kuna App yake unaweza ukaipakua toka kwenye Playstore.....CeliApp
Hahaaa!!umesha kutana na changamoto hiyo hadi uka prove??wengine yalishatukuta na ndio maana tunaongea kwa kujipiga kufua"MIMI KAMWE SIWEZI PATA NGOMA"kwani sio kila mtu ana bahati hiyo!!
mmmhhhTofauti ipo 0- unaweza kumchangia damu mtu yyte yule
Kwenye ukimwi mkuu mimi naongea kwa asilimia mia kwani yalishanikuta na hapa nina sema KAMWE SIWEZI PATA UKIMWI!!labda magonjwa mengine.na mwanzoni madaktari walishangaa ila ndio walilidhibitisha hilo!!Nipo hapa Sina uhakika,lkn naona dalili ya kwenye Koo kama napaliwa hiv niliona hii haki naona kabisa kirona imeingia mwilimu nawahi chai ya limao, na medication nyingine sio kwamba tunakaa tu kusubiri.
Kuhusu ukimwi mkuu summu haijaribiwi
Mkuu mimi ni group o lakini inanisumbua sana pressure ya kushuka lakini labda ni kwasababu ya umri siku za nyuma sikua na shida yoyoteO negative ni habari nyingine hawasumbuliwi hata na stroke wala blood pressure.....
Kuna wateule kwenye group hili hata ngoma hatuwezi kuipata!!ki ukweli ni bahati iliyoje?Hawa ndio wana wa Mungu walio barikiwa.
Kwa kua umesemwa hiyari basi hata wewe ni hiyari yako kuandika hivyoHawanaga nguvu za kiume hao, daily wanashinda kwa Mwamposa wakipaka mafuta ya upako nyeti zao ili ziimarike lakini wapi, wakitoka huko wanaenda kwenye vumbi la Kongo lakini wapi . Baada ya hapo wanaenda kunywa mchuzi wa pweza lakini wapi.....
Wakipiga kamoja ngoma inaahtuka Tena next weekend
Safi sana!Ndio sisi sasa hatuumwagi hata na mafua. Kuumwa kwetu labda upate injury tu.
Aisee wife ana Hilo group toka nimuoe huu mwaka wa tano tumbo ndo ugonjwa wake hivi kwann wanasumbuliwa nahiyo issue ya tumbo Ila hajawahi kuumwa Marathi mengine toka Niko nae.We huwezi kuja pata covid wala Blood Pressure....wala stroke
ila kitu kitakachokusumbua ni acid tumboni..
0- hii kitu inawasumbuaga sana....
mimba hapo inahusika vipiNa mimba pia msisahau.
Hebu mkuu pangekuwepo utaratibu wa kujuana ikiwezekana paanzishwe group telegram inayobeba watu wengi au wasap kwa kuanzia tukajuana kimikoa hata ikitokea tabu tujue tunasaidiana vipi binafsi nipo Dom ni O- pia Nina jamaa yangu yeye ni B-0-
Tupo humu,kuna ndugu humu aliuguliwa na baba yake 2016 mwenye group hili,alihangaika sana kutafuta wa kumchangia,alipoleta uzi humu wakajitokeza watu kadhaa.mimi nakuja kuona uzi anatoa shukrani,ingawa baba yake aliishakuwa amefariki tayari.
Mpaka akapendekeza group hilo tuunde group la watsapp,maana yakikukuta kuna muda hata hospital nako wanabaki kuangaliana,maana tunampa yeyote ila kupokea ni kwa mwenzetu tu ambaye kumpata ni kipengere.
1992 kwenye kambi nzima ya jeshi,alipatikana mmoja tu aliyesaidia niongezewe damu,ningeeshakataga moto kitaambo.
Kuhusu ugonjwa,nakumbuka typhoid ilikaba nyumba nzima,mimi walaa.mpaka leo nikikwambia ninaumwa maralia si rahisi kunielewa maana huwa siregei kabisaaa.
Kuna mtu ninamjua ana group O na amapata mild stroke. Fanya utafiti upya.We huwezi kuja pata covid wala Blood Pressure....wala stroke
ila kitu kitakachokusumbua ni acid tumboni..
0- hii kitu inawasumbuaga sana....
Kwa wachache wetu hata ngoma hatupati!!raha sana!!Blood group O tumebarikiwa sana
Mleta uzi, kuna any study imefanyika? Kama ipo naomba utume hapa tupitie.