Wenye busara kwa sasa sharti tukae kimya, muda utawadia na muda utasema!

hassan kisabya

Senior Member
Jun 14, 2014
165
109
Katika mambo muhimu AMBAYO MUUMBA alimpa MWANADAMU ni BUSARA,UFAHAMU,Heshima,huruma,uoga na HAYA.
NA katika Qur'an, imeandika ili mtu awe mwanadamu kamili sharti awe na mambo 5.

1.heshima/Hekma/busara-mtu aliyekamikika sharti alinde heshima yake na ya mwenzie.Heahima ndio kipima cha utu,mtu asiye na heshima hutenda jambo lolote bila kupima jamii itamfikiria nini.

2.Huruma- mtu asiye na huruma ni sawa na mnyama,huruma ni kipimo cha pili cha utu ,hii ni kuwa na UWEZO wa kuhisi MAUMIVU ya mwenzio KIFUANI kwako.

3.AIBU /Haya-mwanadamu sharti awe na AIBU ,aibu ni kipimo cha tatu ,mtu akikosa aibu huenenda atakavyo bila kujali muonekano kwa jamii pana.

4.Woga/hofu - binadamu kamili sharti awe na woga,hali hii ndio kipimo cha IMANI ,mwanadamu sharti awe na uwezo wa kujiuliza yeye binafsi,nini baada ya hapa,nikifanya hili nini kitatokea?

kama nikifanya hili je, Mungu anaridhia!?je nikifeli maazimio yangu lipi litafuata?Woga ni kipimo muhimu sana kwa mwanadamu mtimilifu!

5.SUBIRA/UVUMILIVU.- mwanadamu sharti awe na subira ktk kila jambo,subira PEKEE ni njia ya ushindi.

HIVYO, SISI WENGINE SIO WAKAMILIFU SANA ILA TUNASTAHILI KUKAA KIMYA NA KUANGALIA MUENENDO WA KILA LINALOTOKEA ILI TUWE NA AKIBA YA MANENO SIKU ZIJAZO.
 
Yeah namquote mtu mmoja qliyeishi karne kumi natano zilizopita alisema inatosha mtu Kuwa muongo kwa kuzungmza Lila anachosikia
Huku wasomi wakisema no research no right to speak
Ila Kama hatujathubutu basi hatuna Nia
 
Lets see Lazma apatikane Wa kumtoa sadaka who will be Lysol wait and see hili Jini. Madawa linataka kupotea Kama Sioux hadhi cheo basi Itakua maisha ya mtu
 
Back
Top Bottom