Wenye AVG Tahadhari!!! Usiupdate!

Thanks Kang

Hii news umeisoma?
WikiLeaks dropped by domain name provider
 
imeshaanza nimesha update,nadhani matatizo ninayopata yanasababishwa na hii avg2011
 


:target: 8MEH-R6633-YP39H-YCNSR-HP69U-EEMBR-ACED

Nadhani kinachozungumzwa ni updates zilizotoka siku hiyo za free AVG10 ambayo imepewa jina la AVG 2011 zikisigisana na OS ya Window 7.

:frown: Bado ni muhimu kwa wale wapenzi wa AVG, ku-upgrade kutoka ama AVG 8 au AVG 9 na kutumia AVG 2011.

:A S clock: kumbuka ku-download kutoka tovuti asilia ya AVG na kuiwezesha kukuhudumia hadi mungu akijalia 2018, kwa kuweka vocha - sentensi ya mwanzo.

:angry:
 
HUWEZI uka shitaki bidhaa ya mtu kabla uja sibitisha kwanza
SAMAHANI :kama ume nunua aina tatizo
LAKINI UME DOWNLOAD? unajidanganya
historia ya Avg ipo katika utafiti wa kukabiliana na tatizo linalo sumbua computer ambayo ni virus kama umedownload ambazo ni blacklist azi fai zenyewe ziko kwenye utafiti na majalibio
 
still ninayo na hakuna tatizo mimi nina windows xp probably ina conflict na os nyingine sijui??? program nyingi sikiwa mpya huwa zina bugs mpaka wanaporekebisha
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom