Wenye Akili huwa hawaangaiki na mbwa ila mwenye mbwa

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Watu tuna post nakupost kila mtu anapost ila wenye akili wametulia kimya wanamtafuta mfugaji wa mbwa.

Wana angalia wapi walipotea mpaka mbwa akatoka nje nakuanza kung'ata watu nakufukuza watu. Mbaya zaidi mbwa ana kichaa.

Wana angalia usajili wake kwenye banda na jinsi alivyo ishi na wenzake. Wanaenda mbali kuangalia vibali vyake vyote vyakuwepo mahali alikuwepo najinsi alitoka kwenye banda. Asili yake kama ina DNA za mbwa wa kia africa

Wana angalia na aina ya madawa alipata mpaka siku alitoka bandani

Ila zaid kichaa chake kwakweli kilimpata lini na kwa nn ma dr hawakugunduwa?

Wenye akili kwakweli wanaumiza vichwa nakuona kuwa mbwa hana makosa ila mfugaji wa mbwa lazima atueleze alimfugaji mbwa huyu.
 
Mlitupotezea risasi zetu 38 bure kabisa.

Mumepanga kutupotezea risasi zetu zingine ngapi tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom