Elections 2010 Wenje umebebwa na Dr. Slaa tu, sasa kafanye kazi

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Wenye mimi namuona ni mtu asiyekuwa na msimamo saaana hata mawazo yake ni ya kuegamia. Watu wamempigia kura kutaa kuitoa CCM madarakani na kwa kutumia Nguvu ya Dr. Slaa. kwa bahati hiyo naomba usiende kuharibu chama na ukafanye kazi sio mchezo mchezo hapa. Maana tunajua CCM days are numbered.
 
Ndugu hata 2005 JK alibeba wengi sana... ndio hawa wanaangushwa leo... hivyo ni kweli wapo wengi watapita kwa Mgongo wa Slaa, hivyo waje kufanya kazi na sio zaidi ya hapo.
 
Wabunge wa CHADEMA inabidi wafundwe hasa, wakapige kazi ya kufa mtu ili next time mambo yazidi kunyooka tuondoe hawa wasanii kwenye uongozi, :yield:
 
Ndugu hata 2005 JK alibeba wengi sana... ndio hawa wanaangushwa leo... hivyo ni kweli wapo wengi watapita kwa Mgongo wa Slaa, hivyo waje kufanya kazi na sio zaidi ya hapo.
Thanks Kasheshe.... Yani ningekua na uwezo ningeweka hata font 20.... huo ndio ukweli, some of us huwa tunapita kama kenge ndani ya msafara wa Mamba

Namshukuru Mungu kwa matokeo yanaendelea kutoa, na kikubwa zaidi, bila kujali matokeo rasmi, Slaa aemonyesha kwamba ni chuma cha pua

CCM walijiandaa kuwa na dola miaka mitano iliyopita, na KJ alikua anawaza baraza la mawaziri mwezi wa tatu, lakini leo hii presha inapanda, na presha inashuka

liwalo na liwe.... ujumbe kwa mafisadi umefika
 
Chamaana sana ni kuwa chama kama chama lazima kiwe na utaratibu wa kuwa update wabunge wake juu ya utendaji na uadilifu. kwa sababu kama haitakuwa hivi basi hatutapata mabadiliko ya kweli. Hii ni hatua na siyo kwamba tumepita
 
kwa kweli lazima chama kijiimarishe na wabunge wa kubebwa hawa wafundwe sana elimu ya uraia.
 
Thanks Kasheshe.... Yani ningekua na uwezo ningeweka hata font 20.... huo ndio ukweli, some of us huwa tunapita kama kenge ndani ya msafara wa Mamba

Namshukuru Mungu kwa matokeo yanaendelea kutoa, na kikubwa zaidi, bila kujali matokeo rasmi, Slaa aemonyesha kwamba ni chuma cha pua

CCM walijiandaa kuwa na dola miaka mitano iliyopita, na KJ alikua anawaza baraza la mawaziri mwezi wa tatu, lakini leo hii presha inapanda, na presha inashuka

liwalo na liwe.... ujumbe kwa mafisadi umefika

Najuwa ukiamuaga kuandika points huwa unajipinda ila kwa hili nahisi ni Roho wa Bwana amekuongoza Acid. I'm sure kwa hili invisible atakuondoa kifungoni hata kama siku hazijafika. Thanks Acid!
 
Habari njema kwetu wana chadema.................watz wameamka
 
Inabidi tutafute semina ya ukweli kwa wabunge wa CHADEMA sio ile ya Ngurudoto 1 & 2
 
Kata ya Nzovwe diwani wa Chadema Hezron Mwakalobo ashinda.Source kampen meneja wake
 
kwa Mbeya mjini Raisi ni dk wa ukweli(Slaa) na hata Mbozi pia.Mikoa mingine labda ituangushe
 
Ndugu hata 2005 JK alibeba wengi sana... ndio hawa wanaangushwa leo... hivyo ni kweli wapo wengi watapita kwa Mgongo wa Slaa, hivyo waje kufanya kazi na sio zaidi ya hapo.

slaa alishasema yeye ni mkali na ana uwezo wa kumwamuru mtu kufanya kazi. Sio kama jk hivyo msihofu
 
dah,nimekubali point yako ila nilivo ona title nilijiandaa kukudis ila umetoa point ya maana sana
 
Thanks Kasheshe.... Yani ningekua na uwezo ningeweka hata font 20.... huo ndio ukweli, some of us huwa tunapita kama kenge ndani ya msafara wa Mamba

Namshukuru Mungu kwa matokeo yanaendelea kutoa, na kikubwa zaidi, bila kujali matokeo rasmi, Slaa aemonyesha kwamba ni chuma cha pua

CCM walijiandaa kuwa na dola miaka mitano iliyopita, na KJ alikua anawaza baraza la mawaziri mwezi wa tatu, lakini leo hii presha inapanda, na presha inashuka

liwalo na liwe.... ujumbe kwa mafisadi umefika

Tupo pamoja wamenyolewa tayari na hawatasahau!
 
Inabidi tutafute semina ya ukweli kwa wabunge wa CHADEMA sio ile ya Ngurudoto 1 & 2

Kweli ndugu yangu nilikuwa nawaza ili swala tokea Alfajiri kwenye saa kumi, kwani ni muhimu vijana hawa wanaongia saa hizi kujidfunza nini cha kufanya kwani tulishuhudia ZITTO, MDEE, nk. wakipata tabu sana bungeni walipoingia kwa mara ya kwanza.
Na sio UBUBGE tu pia na HALMASHAHURI wanakiwa wajifunze kutoka KARATU mafanikio na chalange zilizopo kuongoza HALMASHAHURI.

HOPE TUTAFANIKIWA WOTE KAMA WAPINZANI!
PAMOJA TUNAWEZA!!!!!!
 
Back
Top Bottom