Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Wenye mimi namuona ni mtu asiyekuwa na msimamo saaana hata mawazo yake ni ya kuegamia. Watu wamempigia kura kutaa kuitoa CCM madarakani na kwa kutumia Nguvu ya Dr. Slaa. kwa bahati hiyo naomba usiende kuharibu chama na ukafanye kazi sio mchezo mchezo hapa. Maana tunajua CCM days are numbered.