johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,182
- 170,493
Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi
RIP shujaa Magufuli
Ahsanteni sana
RIP shujaa Magufuli
Ahsanteni sana
Shambulio la Lissu ni huyo shuja wako uchwara na mwanae nyamitakoNi swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi
RIP shujaa Magufuli
Ahsanteni sana
Bwashee weka akiba ya maneno 🐼Shambulio la Lissu ni huyo shuja wako uchwara na mwanae nyamitako
Mungu aliamua ugomvi wetu sote tuseme ameeenNi swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi
RIP shujaa Magufuli
Ahsanteni sana
Muda si mrefu watu watabaki midomo wazi 🐼Mungu aliamua ugomvi wetu sote tuseme ameeenView attachment 3203694
Hakunaga kitakachobakia siriniSiri nje nje
Amka kakojoe kisha ulale tena bado hapajakuchaNi swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi
RIP shujaa Magufuli
Ahsanteni sana
Mkuu chukua maua yako 💐💐💐💐Shambulio la Lissu ni huyo shuja wako uchwara na mwanae nyamitako
Muda utaongeaMkuu chukua maua yako 💐💐💐💐
ACCA CPA Mwaitenda 🐼Aliwaonya lakini. View attachment 3203701
Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi
RIP shujaa Magufuli
Ahsanteni sana
Umewahi kumsikia Boss wa Ben Saanane mh Mbowe akisema Kijana wake kauawa?Hili limeisha Hayati Magufuli na machawa wake ndiyo walimpiga risasi na Mahakama huko Uingereza ndiyo itaweka wazi. Kampuni ya zamani ya Tigo na wamiliki wake wanaongea na Lissu wampe mamilioni ya $$ lakini mawakili wake wanataka namba na majina ya hao wafuatiliaji.
Cha ajabu kwanini Magufuli alimuua kijana mdogo saa nane ?
Tuliwwambia nyumbu humu humu kwamba mpango wa covid 19 DJ anajua kinachoendelea wakakomaza mafuvu.Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi
RIP shujaa Magufuli
Ahsanteni sana
we kuna kesi ya kugushi saini kabisa walishindwa nini kuwapeleka mahakamani ?Tuliwwambia nyumbu humu humu kwamba mpango wa covid 19 DJ anajua kinachoendelea wakakomaza mafuvu.
Sasa bilashawa wanajua nani alitengeneza mchoro.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Umewahi kumsikia Boss wa Ben Saanane mh Mbowe akisema Kijana wake kauawa?
Usiwe Mjinga Bwashee 😂🔥
Usijimalize aisee!Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi
RIP shujaa Magufuli
Ahsanteni sana
na huyo mwanaye ambaye wao wanalalamika kuwa kila mission huwa anashindwa. yaani unaambiwa kila mission anayokabidhiwa wanajiandaa kwa taifa kuaibika, lazima ashindwe, na hata juzi alishindwa mission ya kumleta data yako Arusha akitokea Nairobi. tangu lini mtu zero brain akafanya cha maana.Shambulio la Lissu ni huyo shuja wako uchwara na mwanae nyamitako