Wenje kuwahutubia wananchi wa nyamagana hapo kesho. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenje kuwahutubia wananchi wa nyamagana hapo kesho.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Noti mpya tz, Mar 25, 2011.

 1. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau hapa nje ya ofisi yangu kuna gari inapita inatangaza kuwepo kwa mkutano wa mbunge wa Nyamagana EZEKIEL WENJE ambapo atawahutubia wananchi wa jimbo la Nyamagana na wakazi wa jiji la Mwanza kwa ujumla, mkutano utakuwa katika viwanja vya SAHARA, Katikati ya jiji la mwanza..

  Wakazi wa jiji la Mwanza mnakaribishwa wote.
   
 2. B

  Batale JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,064
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Je itakuwa saa ngapi kamanda Noti mpya tz?
   
 3. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,830
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Nzuri!Ni vema kuwa karibu na wapiga kura.
   
 4. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Good move. Lakini lazima muwahabarishe yale ambaye mmeyatekeleza au mpango kazi wenu, maana huko mwanza nyie ndo Chama tawala.
   
 5. MSAGA SUMU

  MSAGA SUMU JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2015
  Joined: May 25, 2015
  Messages: 2,364
  Likes Received: 6,409
  Trophy Points: 280
  Sawasawa
   
 6. k

  kiwa k khalidi JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2015
  Joined: Jul 31, 2015
  Messages: 300
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo anajipigania yeye kama yeye . kama angelikuwa anapigania chama angesubili irani ya chama ili tujue chama kitatufanyia nini kikiingia madarakani . yeye aliyo fanya atakayo fanya .
   
 7. i

  issenyestore JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2015
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 300
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anakuja Kuaga Tanzania ni Ya Watanzania
   
 8. J

  JUDAMANY Member

  #8
  Aug 26, 2015
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Mi mtu haisomi hata tarehe ya bandiko yanakurupuka tu.. jaman haya si ndo malofa afu wanatusingizia sisi
   
Loading...