Wenje ashinda kesi ya pingamizi lililowekwa na Mabula, kesi ya msingi kuendelea Jumatatu!

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,641
6,267
Kuna mdau kanipigia simu toka Mwanza kuwa uchaguzi unarudiwa. Je, ni kweli?

Mwenye taarifa kamili toka Mwanza atuthibitishie.

=============
UPDATE

CciQjqRUkAAufZD.jpg


Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje ameshinda pingamizi aliyowekewa na mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula

Kesi ya msingi itaanza kusilizwa tarehe 6|03|2016.
 
Na mimi nimepigiwa simu Sasa hivi kuwa kashinda kesi. Aliyepo eneo la tukio atujuze, japo zitakuja thread zaidi ya 5 hapa kwa wakati mmoja kuthibitisha hilo.
 
Kwa hali inavyoendelea kwenye chaguzi za umeya, nimekosa imani kabisa na democracy ya Tanzania, hao wanaopinga ushindi wa CCM mahakamani, chance yao ya kushinda ni ndogo kuliko tz kuchukua kombe la dunia

tuwe realistic jamani, tusiongozwe na hisia
 
kuna vijana wanapita uko nje wanaimba wenje,,may be ingawa Mungu atuepushe na zahma ii aisee
 
kwa hali inavyoendelea kwenye chaguzi za umeya, nimekosa imani kabisa na democracy ya Tanzania, hao waliokata rufaa chance yao ya kushinda ni ndogo kuliko tz kuchukua kombe la dunia
Huku akisisitiza kila siku aombewe kw Mungu!!!
Mungu hapendi unafiki, hapendi kabisa. Aombewe nn?
Ni aibu tupu kw Taifa letu, Kwa haya yanayotokea ktk hizo chaguzi za kutafuta Mayors ktk Municipals zetu....!!!
 
Kesi ndio kwanza imeanza.wenje kashinda pingamizi alizowekewa.
Kwa hiyo mziki bado.
 
Back
Top Bottom