Wenje asakwa kwa uchochezi....adaiwa kutimkia Dar!

QUOTE=muje;Uhuru nimetoa offer kwa wakinamama wafungie maandazi!

Aisee husirudie tena mchezo huo kwani wino wa magazeti ni suma. Una madini ya lead,sawa na lead ya kwenye petrol. Lead inaleta madhara kwny ubongo na genes. Ivyo madhara yake yanaweza kujidhiirisha hadi kwa watoto utakaozaa. Samahanini wanaJF kwa kutoka nje ya mada kuu,ila imenibidi kutoa angalizo ilo maana tabia ya kufungia magazeti vyakula imezidi.
 
Kwahiyo, Dar na Mwanza polisi wao ni tofauti? Bahati yako umeanza na Gazeti la CCM Uhuru....

Kwani polisi mwanza hawana mashirikiano na interpol ili wao watumie jeshi la polisi dar es salaam kumkamata?

Magazeti ya Uhuru na mzalendo huchapishwa kwa order maalum e.g ofisi za ccm, serikali, makampuni ambayo wakurugenzi wake wanatamani siasa etc
 
Wenje ni mropokaji,na ameropoka mengi kwenye mkutano wa sahara,amewavunja moyo hata waliompigia kura,ikumbukwe alimshinda masha kwa kura zachuki nawatu walitaka mbadala wa masha kutokana najeur zake masha,uongozi wajuu wa chadema umuweke kitimoto umfunde huyu dogo wenje,tofauti nahapo ataizima nuruya chadema punde tu mwanza,hajui sheria kisawasawa,ana jazba kuliko hekima,kama mbunge hutakiwi kukosa hekima,nasema haya kama mpenda mageuzi na ushauri nasaha kwa chadema taifa.
 
Back
Top Bottom