Wengine wagonjwa,shauri yako.

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
Unaona kisichana kizuri unakitaka,kumbe kagonjwa.
Unaona ana kitambi unamtaka,shauri yako kumbe mgonjwa.
Unamuona meneja,unamtaka kumbe anaugua magonjwa.
Unaona mrembo mwanachuo,unamtaka,kumbe mgonjwa.
Unamuona ndani range sport unamtaka kumbe mgonjwa.
Unamuona kanisani mpole,ukadhani umepata wa kuoa kumbe kaokoka baada ya kuanza kuishi kwa matumaini.
Kaajiliwa tu,unamtaka kumbe mgonjwa.
Wamedahiliwa tu munawataka kumbe wanaishi kwa matumaini.
BE CAREFUL.
usije kuangamia kijinga kijinga.
 
Mshinga bana kwani hakuna vipimo? Kutaka mtu ruksa, akikubali si unamkimbiza AAR? Sioni tatizo kumpenda au kumtaka mtu yeyote!
 
Maneno kama haya ndiyo yanayonifanya kila nikitaka kwenda kupima ngoma naishia kwenye geti la Angaza kisha naghairi na kurudi nilipotoka....
 
Maneno kama haya ndiyo yanayonifanya kila nikitaka kwenda kupima ngoma naishia kwenye geti la Angaza kisha naghairi na kurudi nilipotoka....

....hahaaa kuna jamaa humu aliwah kusema yeye akiwa anaelekea popote akikutana na kibao/bango la angaza anabadili njia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom