Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

Id nyingine ya Kiranga hii ...Upinzani dhidi ya muumba wa mbingu na ardhi..kumbe hamjajifu za kitu kwa kifo Cha mwendakuzimu
 
Katuondolea vipenzi vyeti ametuacha na majonzi yasiyoisha.
Una elimu finyu sana ya masuala hayo mkuu..ni bora ukanyamaza na uache lawama...

Aliekwambia Mungu ndo sabab ya hao watu wako kufa ni nan..aliekwambia mungu ndo chanzo cha ajal.magonjwa..hal yako duni ya maisha etc ni nan..Mungu hahusiki hata na moja hilo

Kwahyo hzo lawama na elimu finyu za uswahilin za" hayo ni mapenz ya Mungu" mnadanganyana ujinga achen kabisa...

Mungu wa kwel aliekupa uhai..hewa..dunia hii bure kabisa.samak.wanyama..kuku ngombe matunda miti..wanawake wazur..vyoootr hiv kakupa bure..hana sabab ya kukutakia mabaya hata sku1..ni mkubwa mnooo....hzo cheap doctrine mnazofundishwa huko makanisan na misikitin ndo znawadanganya...so kua makin sana na lawama zako bwa mdogo
 
Kwa upande wako yawezekana ipo hivyo ila kwangu mimi NAMPENDA SANAA

Kwasababu namjua Mungu ninayemuabudu na najua ambayo amenifanyia na anayonifanyia hata sasa.

Yaani bora niachwe na Ndugu, Jamaa na Marafiki lakini asiniache yeye.
 
Utajiju
IMG_20210727_123134.jpg
JamiiForums-1393350733.jpg
 
ukisikia kanisa linakili kupokea sadaka zakishetani harafu wanasema zikiombewa ushetani kwisha ,Kama kichwani zimo utaelewa kitu
 
Sikiliza!Mungu ni taasisi inayojitegemea wala haina mafungamano ya dhati na taasisi za kidini hizi!!Mungu hayupo kama inavohubiriwa na taasis za kidini!kuna vitu wanaviongeza kwa manufaa yao ya kiuchumi na kisiasa!!!MUNGU HAYUPO KAMA TUNAVOMUELEWA NA KUFUNDISHWA!!TATIZO LIPO KWA HAO WANAOSEMA WANAMJUA NA KUMFUNDISHA KWETU!HAO NDIO WANATUCHAFULIA UUNGU WAKE ULIOTUKUKA!!!!
JITAHIDI UNIELEWE!JAPO NI KWELI YUPO!!LAKINI HAYUPO KAMA TUNAVOAMINISHWA!!!
 
Wengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
Licha ya vipindi vigumu ambavyo huwa napitia maishani mwangu lakini hata shetani anajua nampenda Mungu kiasi gani. Nina mengi ya kushuhudia kuhusu namna Mungu anavyojidhihirisha "live" katika kila hatua ya maisha yangu ila nahofia kujaza server ya watu. Kimsingi huwezi kumpenda Mungu kama huijui thamani yake maisha mwako. Nionavyo,wewe unasikiasikia tu neno "Mungu" ila haujampa nafasi ajidhihirishe wazi wazi maishani mwako. Na hili linawakumba watu wengi sana,wewe ni sample tu.
 
mkuu kumbuka wakati Mungu anamuumba mwadamu haikuwa lengo lake mwanadamu kufa ila alimwambia utakapo kula mtu huo ni hakika utakufa.

Na mimi na wewe tunajua kabisa kuwa shetani ndio sababu ya mwanadamu kula lile tunda kwa maana yeye ndie alie washawishi hivyo ni Lucifer anapaswa kulaumiwa juu ya vifo vya wanadamu.
Sasa hiyo dhambi inatunusu nn sisi?
 
Daah..noma sana ila kwanini kutishana kuwa kuna moto wa jehanamu.?

#MaendeleoHayanaChama
Siyo kutishana,ni kweli. Kama huamini kwa kusikia subiri utaamini kwa kuona. Kwa hulka, Mimi siyo mtu wa kuamini mambo kirahisi hadi nijiridhishe pasipo shaka yoyote. Achana na faraja hewa ambazo watu wanafarijiana duniani hapa. Mungu yupo na kila asemacho ni dhahiri na kweli.
 
Back
Top Bottom