Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
1,114
2,000
Kifo kipo ili wengine wapate kuishi. Usipokufa unawanyima haki ya kuishi viumbe vingine kama funza n.k .

Ng'ombe na mbuzi ili umle si lazima afe?

Ni binadamu tunajipa upekee kuwa ss ni wa pekeee sanaaa kuliko wanyama sababu tunasema tuna nafsi ya utambuzi ila wanyama nao sioni kama wana tofauti na sisi.

Wanaumia, wanapata uchungu, wanafurahi, wanakula, wanajua huu ni muda wa kulala. Wanajilinda, wanawalinda wanaowapenda. Sijajua kwann tunadhani hawana nafsi ya utambuzi.
Hii ni kwa mujibu wa mtazamo wako, niliye m quote alikuwa na imani tofauti na ndio maana swali langu lililenga kwake aniambie imekuaje aseme Mungu hakuwa na lengo la binadamu wafe ilihali uwepo wa kifo kimetokana na huyo huyo Mungu.
 

NYAMOZEHOKO

Member
Apr 18, 2020
33
95
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png

Kusingekuwa na vitisho kila mtu angeishi kivyake! Kungekuwa n free will na hakuna moto wengine wangemchagua kaka shetani
Bro free will i

Kusingekuwa na vitisho kila mtu angeishi kivyake! Kungekuwa n free will na hakuna moto wengine wangemchagua kaka shetani
Ok kila mtu Ana Uhuru kuchugua Mungu au shetani hakuna anayelazimishwa.
 

jojoe35

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
220
250
HII NDIO ATHARI YA MAFUNDISHO UONGO HAYA
"MUNGU KAMPENDA ZAIDI"
"MUNGU KAMCHUKUA"
"KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA"

UTAFIKIRI MUNGU AKIKUPENDA ANAKUUA SERIOUS??? MUNGU KAZI YAKE NI KUUA!!!!?? KAMA NIIVI MBONA STAKI NIPENDWE SAS...

TUMEJENGEWA PICHA YA MUNGU KATIRI WAKATI "MUNGU NI PENDO" ONA SAS KIJANA ANAVYOMCHUKIA MUNGU BILA SABABU. JAMAN SHETANI NDIO ANAUA... KIMBIENI MAFUNDISHO YA UONGO HAYO MTACHIZIKA
 

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
6,318
2,000
Ungefaa umtaje na huyo mungu ambaye humpendi.
Yaani jina lake ni nani ?
Mana kuna mungu wengi sana.
Sema mungu flani, na namchukia kwa sababu flani.
 

mandawa

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
290
250
Wengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
Natamani ungemjua walai usingempa shutuma hizo..nakuombea neema tu..ujue wema wake..na ukuu wake kwa wanadamu!
Kama shutuma na kuua ndugu..how sure ni yeye?.maana si kila kifo chatokana na mungu..mengine mnamsingizia😀😀😀
 

MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
2,073
2,000
Hii dhambi inatuhusu kwa sababu sisi tu watoto wa Adam na kwa kuwa tu watoto wake basi hii tayari imekuwa kwenye asili yetu.

Na hii haikuwa kwa Adam tuu ata sisi leo hii kuna dhambi zetu ambazo tunazitenda na kupelekea kizazi na kizazi kuzirithi. Mfano mtazame Daudi na dhambi yake ya uzinzi hata baada ya kumuomba Mungu msamaha na akasamehewa lakini hata kizazi chake bado kilitembea na hiyo dhambi bado.
Baba mzinzi na mimi ninatakiwa kutubu ?
 

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
6,318
2,000
Kuna Mungu wengi? Au kuna majina ya Mungu mengi?
Kumbukumbu la Torati 5:7
Usiwe na miungu mingine ila mimi.

Mungu anayejiita
Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu.

Aliwahi kusema
Tusiwe na "miungu" mingine ila yeye.

Kuna mungu, Dogani, Appollo, Zeus, Eres, Allah, Hellmes, Budha, Hindu, NK

Mtoa Mada hii, hapo asiyempenda ni yupi ?
 

Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
750
1,000
Ungefaa umtaje na huyo mungu ambaye humpendi.
Yaani jina lake ni nani ?
Mana kuna mungu wengi sana.
Sema mungu flani, na namchukia kwa sababu flani.
Watu wana "miss" hii point na sijui kwanini. Mungu ni neno moja linaloweza kukubali maana yoyote ile kulingana na unachoona ni faraja kwako
Sasa unaposema Namchukia Mungu au Usimkufuru Mungu au Mungu yupo, bila kutupa maana ya neno Mungu kwako basi unakosea kila kitu

Kwa sababu unaweza kukubaliana na watu msiokubaliana kwa kuwa tu wote mnatumia neno Moja
Kuna Maelefu ya Miungu Duniani inayoaminiwa na kuabudiwa na Mamillion ya watu Duniani kote.
Ila usihofu.Wa kwako tu ndio wa kweli
download.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom