Wengine 26 wauawa Nigeria, tofauti na wa 118 wa jana

Inasikitisha watumie mbinu za nyerere mambo mezani wayamalize. Hawa Boko Haramu wanaonekana wanapata misaada wamejiimarisha sana
 
Iran naona kawaimarisha vijana wake ipasavyo' naona anaunda Hizbollah nyingine ya Afrika!
 
Hao Boko Haram wakikamatwa wanatakiwa wakatwe viganja vya mikono yote miwili


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
sipendi kuona mwananchi wa kawaida anauwawa kwa sababu za kisiasa, hawa boko haram wanawauwa watu masikini kwa nini hawawauwi viongozi wabadhirifu ??? afrika tuna matatizo yetu na tukipewa silaha ndo matatizo yanaongezeka
 
ulafi wa kisiasa ni mbaya sana....strategy zinazotumiwa kwa kisingizio cha imani ni kupumbaza walio na ufinyu wa fikra....
 
ulafi wa kisiasa ni mbaya sana....strategy zinazotumiwa kwa kisingizio cha imani ni kupumbaza walio na ufinyu wa fikra....
hawa watu wapo vizuri kuliko jeshi la nigeria sasa silaha wanapata wapi ??? Jeshi la nigeria lina watu ambao wanamahusiano na hilo kundi wakipanga kwenda kuwa vamia wanajua mapema sasa nani anavujisha habari.
 
Jaman serikali ya nigeria si ifanye mazungumzo na hao watu wayamalize wasaini mikataba ya amani aren't they tired of seein people get killed everyday afu wanao pata shida ni watu wa hali ya chini tuu, yaan roho inaniuma sana
"Oooohhhh God of love, peace and mercy why so much sufferings in Africa show us that u love us Amein."
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom