Wengi wanakuita shemeji ama wifi kinafiki,unamegewa hawasemi.

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
wewe tu ndio unadanganywa uko peke yako,akienda kwa marafiki zake anawaambia ukweli kuwa pengine wewe ni wa 20,mapenzi ni uongo uongo tu.
Alafu wanakuita shemeji ama wifi kinafiki huku wakijua wewe ni pozeo tu ama ATM machine.
 
Hahahahaaaaa tutanunua bastola na visu! Sikubali kuitwa ATM
 
Ukiona shida zinazidi kila kukicha juwa ushakuwa ATM bora kula kona hahah
 
wanatenda lililojema kwa ajili yako na kwa ajili yao pia. Unadhani wakikwambia watakuita tena shemeji ama wifi? Hakuna hatari kama kuwa mbea kwenye mapenzi ya wawili.
 
wewe tu ndio unadanganywa uko peke yako,akienda kwa marafiki zake anawaambia ukweli kuwa pengine wewe ni wa 20,mapenzi ni uongo uongo tu.
Alafu wanakuita shemeji ama wifi kinafiki huku wakijua wewe ni pozeo tu ama ATM machine.

Jiulize kwanini unamegewa mke/mume wako, huku rafiki zako wanajuwa na hawakwambii. Jiangalie tabia zako binafsi na pia uhusiano wako na hao unaowaita marafiki zako! Usitegemee kama tabia zako ni mbaya au uhusiano wako na hao rafiki zako ni mbaya kwa kujaa kejeli, majivuno na dharau utaambiwa chochote. Utaendelea kumegewa mpaka uje ufumanie wewe mwenyewe.

Mahusiano mazuri, ukaribu na upendo kwa ndugu na marafiki vinaweza kukusaidia kuokolewa hata kwenye matatizo kama haya.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom